serikali

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi

    Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka ambapo imesema mabasi hayo yatapunguza foleni za Dar es salaam na kuharakisha...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yataja Saratani Tano Zinazosumbua Wananchi Kanda ya Ziwa, Mbunge Kabula Shitobela Ahoji Bungeni

    SERIKALI YATAJA SARATANI TANO ZINAZOSUMBUA WANANCHI KANDA YA ZIWA, MBUNGE KABULA SHITOBELA AHOJI BUNGENI Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ambazo ni ya kibofu cha mkojo, mji wa uzazi wa uzazi, damu, macho na figo. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara Newala, Tandahimba hadi Masasi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kiuchumi yenye umbali wa...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana kwenye jamii

    Katika ulimwengu wa sayansi na technologia ni vigumu kuepuka assassination attempt. Ata US secrets service waliomlinda Trump walizidiwa. Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana kwenye jamii. Nimepitia X nkaona kuna post hadi moyo wangu umeshtuka. Mtu anatangaza kufanya...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KAMA WACHINA WANALIPA KODI ILEILLEE WAZAWA WANALIPA TUNAOMBA SERIKALI MSIWAGUSE HAO N BARAKA ZETU

    USHAURI KWA SERIKALI TYSISIKILIZE HIZI KELELE ZA WAFANYABIASHARA WA KRKOO KAMA WANALIPA KODI ILEILE ILE MNAYOHIITAJI TUNAOMBA HAWA WATU WASISUMBULIWE WAHESHIMIKR KAMA WENGINE HATUWEZI KUNUNUA MALI ZA 8000 LWA 60000. KISA TU KUBADILI MTAA HII N LAANA TUNAOMBAA WATANXANIA WOTEE TUPINGR...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Deodatus Mwanyika: Serikali Iwalinde Wananchi Dhidi ya Wawekezaji Kwenye Ajira

    MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA "Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya kuboresha miundombinu, Madarasa, Usafiri wa Reli, Usafiri wa Anga. Tunamshukuru sana Mhe Rais Samia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  8. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Wazee wa no reform no election tusaidieni kutengeneza picha ya serikali yenu ili tujue tunawaunga mkono au vipi

    PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA Rais: Tundu Lissu Makamu wa Rais: John Mnyika Waziri Mkuu: Heche Waziri wa Michezo: Sugu Naibu Waziri wa Michezo: ( ) Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. ) Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( ) Mkurugenzi wa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la Gongo latikisa bungeni, Mbunge ahoji Serikali kusambaza mitambo yakutengenezea

    Bungeni leo Aprili 14, 2025, Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amehoji kuhusu hatua za Serikali kudhibiti pombe kali zinazoingizwa nchini ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuharibu afya na maadili ya vijana. Sichalwe amesema: "Kuna pombe nyingi sana zinaingizwa ambazo ni kali na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuanza Kununua mahindi ya Ngara

    SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA 📝14/04/2025 NGARA ✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓ Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2025. Hatua hii itaimarisha bei ya soko la mahindi ambayo imekuwa ikibadirika...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini gari za Serikali yakiwamo ma V8, hayakatiwi Bima?

    Hello! Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa, Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa? Au ni vile vya umma havina mwenyewe? RIP mkurunzi Tannesco! Karibuni 🙏
  14. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ccm mmeamua kumsaliti mdau wa maendeleo Justin kimodoi na kushindwa kuuleta Mwili wake Tanzania ili uzikwe!

    Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa ni pesa. Hii ndo Ccm
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wanavifuata hivi vyama vya upinzani kishabiki

    Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
  16. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

    Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama. Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo. Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi. Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kazi kubwa aliyo ifanya kwa CCM, serikali haiwezi kumfunga Lissu

    Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu. Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa. Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi. Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  19. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Serikali dumisheni nidhamu kwenye mahakama zetu; Kuna watuhumiwa wanaichezea sana serikali.

    Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache: 1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa...
Back
Top Bottom