serikali

  1. L

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
  2. Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya CAG — Dkt. Mwigulu

    ▪︎ Asema hatua kali kuchukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika...
  3. O

    Serikali Yatenga KSh18 Bilioni kwa Mbolea ya Ruzuku, Wakulima Milioni 1.26 Kunufaika

    Serikali ya Kenya imetenga KSh18 bilioni kwa ajili ya mpango wa mbolea ya ruzuku katika mwaka wa fedha wa 2026/2027, hatua inayolenga kupunguza gharama za kilimo na kuongeza uzalishaji wa chakula nchini. Mpango huo unatarajiwa kuwanufaisha wakulima milioni 1.26 kote nchini, huku serikali...
  4. Kama hujaolewa ni Marufuku kubeba mimba. Na ukibeba mimba bila ndoa utalea mwenyewe.

    KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mtemi! Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo. Sheria itungwe...
  5. Serikali yaanza maandalizi ya ujenzi wa Barabara ya Likuyufusi–Mkenda kwa kiwango cha lami

    Serikali imesema imeanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda kwa kiwango cha lami, huku kipande cha kwanza cha Likuyufusi–Mukuru chenye urefu wa kilomita 60 kikitarajiwa kuanza kujengwa baada ya kukamilika kwa taratibu za malipo ya awali kwa mkandarasi. Hatua hiyo inafuatia...
  6. J

    Republicans Kushindwa katika Midterm Elections haimaanishi Serikali ya Kiayatollah ya Iran ndiyo Imenusurika

    Katiba ya Marekani inampa Rais Nguvu kubwa katika kuamua hatua za kuchukua kuhusiana na masuala ya kimataifa (Foreign Policy) Rais huhitadi uungaji Mkono wa Mabunge ya Senate na Congress ktk domestic policies na uteuzi wa viongozi wakubwa na Majaji Supreme Court. Na endapo mabunge yakatofautiana...
  7. K

    Tujiulize Kwanini serikali hii fake inateka watu

    Kwasababu ya kuendeleza wizi na ufisadi hasa kwa familia za kikwete, Mwinyi na Samia
  8. Unahisi ni kwanini Serikali imefumbia macho sakata la Ushoga mbali na kuzungumziwa Bungeni?

    UNAHISI NI KWANINI SERIKALI INAFUMBIA MACHO SAKATA LA USHOGA? Sakata la ushoga limeendelea kuwa gumzo nchini, likitajwa na kujadiliwa hata ndani ya Bunge, lakini bado baadhi ya watu wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaendelea kujitokeza hadharani na kufanya mazungumzo ya moja...
  9. Tanzania October 29: Hatua tatu ambazo zinaweza kuipeleka nchi kwenye civil war au kuporomoka kwa serikali kutoka ndani

    Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study. Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
  10. SERIKALI YAENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA NCHINI

    Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
  11. O

    Serikali Yafufua Mpango wa Bomba la Mafuta la Turkana Kupeleka Mafuta Katika Kiwanda cha Dangote cha KSh3.1 Trilioni Lamu

    Serikali ya Kenya imefufua mpango wa kujenga bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Turkana hadi Lamu, kufuatia uwekezaji wa bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, katika kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta kinachotarajiwa kugharimu KSh3.1 trilioni. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na...
  12. Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  13. Ipi tafsiri ya Serikali kumiliki ardhi badala ya Wananchi?

    Je tafsiri yake nikuwa Serikali inamamlaka ya kupokonya Wananchi ikiwa itahitaji ardhi hiyo? Ikiwa ardhi inamilikiwa na Serikali tafsiri yake ni kuwa Wanachi ni kama wapangaji Au pengine tafsiri yake ni tofauti na hii?
  14. K

    Tuongelee Jamii; matokeo ya "you better watch your back", mwitikio wa serikali na wanajamii

    Wakati Msanii Dudubaya ana "trend" na msemo wake waarufu wa kulinda migongo, baadhi ya watu walibeza, wengine waliona kama ni kauli za kilevi levi na wengine waliona kama mtu anayetafuta kiki Baadae kauli ikapokelewa na baadhi ya watu wanaojua ukubwa wa tatizo alilokuwa ameligusa Dudubaya...
  15. A

    Stanslaus Nyongo: Hakuna wa kuinunua serikali ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...
  16. DIASPORA/WANAHARAKATI mnaowajibu wa Kumreport LEMA kwa Serikali za Canada /USA , kama Jasusi la CCM anayewakamatisha Wakosoaji wa Serikali !!

    Huyu LEMA alimkimbia Magufuli na kukimbilia Canada na Familia yake kwa msaada wa akina Maria Sarungi . Alipata Hifadhi Canada, kwa sababu tu ni MWANACHADEMA , Mpinzani na Mkosoaji wa Magufuli ambaye aliamua kwenda Canada kutafuta Hifadhi Magufuli amekufa, na kwakua Amekufa, LEMA akapigiwa...
  17. Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"

    Nawakumbusha tuu. Yaelekea Hawa Wasiolinda mgongo wanaogopwa sana ndio maana husikii Kauli thabiti ya serikali kukemea kama walivyofanya Kwa wale Watoto wa shule waliokuwa wanatikisa makalio. https://www.instagram.com/reel/DfHxU2eMOUA/?vrfl=MTY1eGp3a3l5N2poag== My Take Wanaume wakiacha kuwa...
  18. K

    MWITA WAITARA: SERIKALI ILITOA KIBALI CHA MKUTANO WA MASHOGA?

    Mbunge Mwita waitara ahoji
  19. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  20. Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

    Marupurupu ni motisha kubwa ya kazi katika sekta zote na ni muhimu ili kuamsha ali ya wafanya kazi. Hivyo napendekeza serikali kuweka marupurupu (per diem) kwa mwalimu katika matukio yafuatayo; Kuandaa mitihani ya ndani na nje, hapa ni pamoja na kuandaa mitihani ya mid-term na annual...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…