rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Megalodon

    Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa. Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
  2. M

    DC SHAKA APONGEZA UAMUZI SERIKALI CHINI YA RAIS SAMIA KULIJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE

    DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya Daraja la Magole, katika barabara kuu ya Morogoro - Dodoma...
  3. L

    Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  4. L

    Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  5. L

    Baraka na Neema Za Rais Samia Zaendelea Kuipeperusha Bendera ya Tanzania Kimataifa. Dunia Yabubujikwa na Machozi ya Furaha na Kumpongeza Rais Samia.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, usishindane na Aliyepakwa Mafuta na Mungu,usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Kwa hakika Taifa likiongozwa na Mwenye Haki na aliyekubalika Mbele na machoni pa Mungu litapata Baraka Neema na kubarikiwa kwa kila kitu...
  6. Cute Wife

    Niffer: Ushindi wa Jihan usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!

    Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ametoa shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali! Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport...
  7. L

    Rais Samia aumizwa na kutokwa na machozi kufuatia vifo vya watu 32 mkoani Morogoro kufuatia ajali ya magari. Atoa salamu za pole na rambirambi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameumizwa sana kufuatia vifo vya watu 32 vilivyotokea mkoani Morogoro kufuati ajari mbili zilizotokea . Ambapo Rais wetu Mpendwa Ametoa Salamu za Pole na Rambirambi...
  8. R

    Rais Samia atoa salamu za pole kwa vifo vya watu 32 ajali Morogoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga; na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Mongoso Wambura, kufuatia vifo vya watu 32, wakiwemo Askari Polisi watatu...
  9. Zack Abdul

    Spika wa Bunge la Afrika kusini amtaja Rais Samia kinara wa Afya ya Mama na Watoto

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini Angela Thokozile Didiza akizungumza katika mkutano maalumu wa ngazi ya juu wa kundi la Afrika la IPU alimtaja na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara katika kutatua changamoto ya afya kwa wajawazito na watoto. Spika Didiza alimshukuru Rais...
  10. L

    Akikosekana atakayevaa viatu vya Rais Samia 2030, ni vyema tubadilishe tubadili Katiba ili aendelee

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia . Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi...
  11. Zack Abdul

    Rais Samia akoleza kasi Diplomasia Uchumi

    ✅Serikali yakusudia kukamata fursa uwekezaji barani Ulaya. ✅Ndio suluhisho la kiutafiti ajira za staha kwa Watanzania. ✅Ni wakati ulimwengu ukifuatilia agenda za Dunia Tanzania.
  12. Waufukweni

    PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
  13. The Palm Beach

    Rais Samia kusafiri kwenda Zimbabwe kinyemela kumzika mfanyabiashara mwenye utata wa kimaadili inatoa ujumbe gani kwa Watanganyika?

    https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya: 1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara? 2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
  14. Zack Abdul

    Rais Samia aendelea kuvunja rekodi

    Tanzania imeendelea kuonyesha viashiria vya kuimarika kwa uchumi. Benki ya Dunia imesema ukusanyaji wa mapato ya Serikali umevuka malengo katika mwaka wa fedha 2026, ukionyesha kuimarika kwa ukusanyaji wa rasilimali za ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) nayo imeeleza kuwa katika kipindi cha...
  15. Zack Abdul

    IPU yamtaja Rais Samia mfano wa Uongozi bora wa Wanawake

    Rais wa Wabunge Wanawake wa IPU, Cynthia Lopez, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mfano wa uongozi wa wanawake duniani, akisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki na kuongoza katika nafasi za maamuzi.
  16. S

    Wale wanaosema Raisi Samia yuko eda ya miezi minne na siku kumi ndio maana hafanyi/anafanya hili au lile, hawamsaidii bali wanamharibia!

    Sasa hivi kuna visingizio vingi sana vya eda ya raisi Samia baada ya kufiwa mume wake, watu wakidai inabidi tuelewe kwamba ana eda ya miezi minne na siku 10 kwa ajili ya kufiwa mume wake, hata kama yeye alikuwa mke mdogo. Sasa tuwekane sawa. Kwanza ieleweke katiba yetu ya Tanzania haina dini...
  17. Zack Abdul

    Jamii za Ngorongoro-Lengai zanufaika na Utalii, zamshukuru Rais Samia kwa kuitangaza Tanzania

    Jamii zinazoishi katika maeneo yanayozunguka Ngorongoro-Lengai UNESCO Global Geopark ikiwemo Wahadzabe na Wadatoga wameeleza umuhimu wa utalii katika kutangaza urithi wao wa asili na utamaduni, huku wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi za...
  18. L

    Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  19. Anonymous

    Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  20. L

    Rais Samia anakitandika na kukichapa Kiingereza utafikiri amezaliwa katikati ya Jiji la London Uingereza ama New York Marekani na kufundisha OXford

    Ndugu zangu Watanzania, Linapokuja suala La Kuichezea Lugha Ya Kiingereza kwa ufundi na ustadi na Uhodari pamoja na Umahiri kiukweli Rais Samia anakuwa hana wa Kulinganishwa Naye . Anakuwa na anga lake na utawala wake .Mama anakichapa na kukitandika Kiingereza Utafikiri kazaliwa na kukulia...
Back
Top Bottom