rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Raia wengi wapo upande wa Lissu. Rais Samia na timu yake wanaonekana ni makatili mbele ya wananchi na wapo madarakani kiharamu

    Baada ya hukumu hii dhidi ya Lissu maoni ya raia wengi ni kuwa rais Samia na serikali yake wanatumia mabavu kukaa madarakani. Wameiweka mfukoni mahakama. Ni makatili ambao wapo kwa ajili ya kulinda maslahi yao. 100% ya Watanganyika wapo upande wa Lissu. Jaji Ndunguru alaaniwa mpaka kufa.
  2. Zack Abdul

    Rais Samia akamilisha ujenzi wa kituo cha nishati jadidifu ATC wafikia asilimia 99

    Ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) umefikia asilimia 99, kikiwa na mtambo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 1.6 za umeme. Mradi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 2026 na kuunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia TANESCO, hatua inayolenga kuimarisha...
  3. Roving Journalist

    Dorothy Semu (ACT Wazalendo): Shilingi Trilioni 51.92 za Mkopo wa Serikali zimetumika kufanya nini?

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ameihoji Serikali ya awamu ya Sita chini Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu matumizi ya mikopo ya Trilioni 51.92 zilizokopwa ndani ya miaka mitano ya utawala wake. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Kigoma Kaskazini Kata ya Nyarubanda, ambapo...
  4. R

    Mwigulu: Mwongozo wa Katiba mpya umeshatolewa. Serikali ya Rais Samia inatambua Katiba ni msingi wa upatikanaji wa haki

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amehoji Bungeni leo kuhusu utekelezaji wa ahadi ya serikali ya kufufua mchakato wa Katiba mpya, akitaka kujua ni lini mchakato huo utaanza rasmi na utakuwa na sura gani. Ameongeza kuwa bunge linakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu lizinduliwe, huku...
  5. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  6. L

    PICHA YA SIKU: Rais Samia Akipiga Kura ya Kumchagua Mbunge Jimbo la Chamwino

    Ndugu zangu Watanzania, Hii Ndio Picha ya Siku ya Leo Ambayo Imeteka Hisia za Mamilioni kwa Mamilioni ya watanzania Duniani Kote . Ni picha Ambayo inamuonyesha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli...
  7. Zack Abdul

    TAARIFA KWA UMΜΑ RAIS SAMIA ASHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE, JIMBO LA CHAMWINO

  8. Zack Abdul

    RAIS SAMIA APIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA CHAMWINO

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge...
  9. L

    Namuomba Rais Samia Amsamehe Benno Malisa Na Kumpatia Nafasi ya Pili Kulitumikia Taifa Letu Katika Nafasi nyingine yoyote Ile ndani ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Natambua wazi Namna Rais wetu alivyo na Upendo Mkubwa kwa Vijana wa Taifa hili . Natambua Juhudi kubwa sana zinazofanywa na Rais wetu Mpendwa katika Kuhakikisha kuwa analiweka Taifa hili Mikononi Kwa Vijana ambao ni wengi sana Nchini kitakwimu. Najua Rais wetu anatambua...
  10. A

    Stanslaus Nyongo: Hakuna wa kuinunua serikali ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...
  11. A

    Dr. CassyPool: Trump akinipigia simu nakata, napokea ya Mama Samia

    Mgombea wa Ugavana Nairobi Kevin Onyango Odhiambo maarufu kama CassyPool amezungumza haya alipokuwa katika podcast nchini Kenya. Amesema, "kwanza nampenda Mwenyezi Mungu, wa pili nampenda Mama Samia. Leo simu ya Trump ilie na huku ya mama Samia ilie, Trump atasubiri" Na hata screen ya simu yake...
  12. R

    Rais Samia: Nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu

    Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na...
  13. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Faris: Kwa kazi hii aliyofanya Rais Samia, unayejiandaa kumzamisha Rais Samia tutakuzamisha wewe

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Faris Buruhani, amewataka watu wanaowapa wananchi taarifa zinazoweza kuwachochea kumchukia Rais Samia Suluhu Hassan kuacha kufanya hivyo, akisema juhudi zilizofanywa na Serikali katika sekta mbalimbali zinapaswa kutambuliwa. Akizungumza Oktoba 31...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Leo nimeenda bandari ya Dar es Salaam. Ni kichaa pekee atamdharau Rais Samia

    Kwa porojo na propaganda Rais Magufuli atazidi kuonekana kuwa alikuwa Rais bora kuliko Marais wote. Kwa Takwimu za wazi kabisa Rais Samia ndiye Rais bora kuliko wote. Amekusanya mara mbili ya Kodi alizokusanya Magufuli bila mtu kutishiwa na SMG au bastola. Hajapora pesa za watu benki Ameajiri...
  16. M

    DC Shaka: Rais Samia amewaaibisha waliombeza

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaibisha waliombeza waliokuwa wakidhani kuwa asingeliweza kuendeleza miradi ya kimkakati ya Taifa. Shaka amesema wakati Mhe. Rais Samia anaingia madarakani, licha...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia: Watumishi wa Umma Tumieni mazingira bora ya kazi yaliyowekwa Mji wa Serikali Mtumba kuwahudumia wananchi kwa heshima na uwajibikaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa umma kutumia mazingira bora ya kazi yaliyowekwa katika Mji wa Serikali Mtumba kuwahudumia wananchi kwa heshima, uadilifu, uwajibikaji na ufanisi. Rais Samia ametoa rai hiyo leo, Oktoba 30, 2026, wakati...
  18. Waufukweni

    Rais Samia: Tuliupa jina 'Magufuli City' mwaka 2019, sasa tumekamilisha ujenzi Mji wa Serikali

    Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016. Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli...
  19. N

    Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewaaibisha waliosema hatoweza kumaliza miradi hii mikubwa ya kimkakati

    DKT. SAMIA AMEWAIBISHA WALIOMBEZA, AITHIBITISHA TANZANIA INAWEZA - DC SHAKA Asema Uongozi Wake Umeleta Matokeo Makubwa na Kuifanya Tanzania Kung'ara Kimataifa Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  20. C

    Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
Back
Top Bottom