rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  2. Zack Abdul

    Nukuu za Rais Samia akimpokea rasmi Rais wa Angola Ikulu ya Dar es salaama

  3. R

    Rais Samia: Tumesikitishwa na kuvunjika kwa usalama katika nchi kadhaa hasa Eastern DRC

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Angola zimejadiliana kuhusu hali ya usalama na utulivu katika ukanda wa Kusini mwa Afrika, pamoja na migogoro inayoendelea katika maeneo mbalimbali, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na eneo la Maziwa Makuu. Amesema nchi...
  4. R

    Rais Samia: Angola wametukaribisha kushirikiana nao, TPDC imeanza mchakato kuingia ubia mradi wa kinu cha kusafisha mafuta Lobito

    kizungumza leo Oktoba 29, 2026 wakati wa Mkutano wake na Rais wa Angola, Rais Samia ameeleza kufurahishwa kwake na ziara hiyo ambayo inafungua fursa mpya za kiuchumi na kijamii, hasa ikizingatia rasilimali walizonazo nchi zote mbili ikiwemo mafuta, gesi, na madini. Amesisitiza kuwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Maryprisca Mahundi asukwa mtindo wa Jina la Rais Samia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhandisi Maryprisca Mahundi Maryprica Mahundi akisukwa mtindo wa Jina la Rais Samia ikiwa ni sehemu ya shindano la Ususi hapa Mlimani City kwa Wasusi wakiandika majina ya Viongozi...
  6. Zack Abdul

    Rais Samia, Msibani kwa Baba Wambura

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
  8. L

    Rais Samia Kwa Kiingereza Safiii Atuma Salamu Za Pongezi Kwa Rais Wa Brazil Kwa Ushindi Wake Mnono. Aahidi Kuendeleza Ushirikiano Wetu wa Kihistoria

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,nuru ya Wanyonge, jasiri muongoza njia na Nyota ya Matumaini. Amemtumia Salama za Pongezi Rais Mteule wa Brazil Lula Da...
  9. Zack Abdul

    Rais Samia kuzindua mji wa kiserikali Mtumba, Dodoma

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma Oktoba 30, 2026. Mradi ambao ujenzi wake umegharimu takriban bilioni 700.
  10. Zack Abdul

    Rais Samia Suluhu Hassan anatimiza ahadi

    Newala-Tandahimba ni kuteleza tu, Heche akifika kwenye mikeka kama hii anavaa miwani ya mbao ananikumbusha zile documentary za waandishi wa Ulaya juu ya maisha barani Africa 😆😆😆
  11. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  12. A

    HOJA Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu hali ya usalama katika mgogoro wa wakulima na wafugaji Tunduru

    IKULU, DODOMA, TANZANIA. Mheshimiwa Rais, Ninasimama mbele yako kwa masikitiko makubwa na moyo mzito kuwasilisha kwako barua hii ya wazi, ninachukua hatua hii kufuatia hali ya taharuki na tishio kubwa la usalama linaloendelea kuwakabili Wananchi wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma. Tangu...
  13. funaku

    Pamoja na Mgongano wa mawazo swala la bima ya Afya kwa wote ni swala la Rais Samia ...tulizindue kikamilifu!!

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii juu ya mzozo kati ya UVCCM na MNEC Mchengerwa,mzozo ambao unahusisha siasa za ndani ya jimbo husika na wala sio CCM Taifa. Mzozo na makabiliano ndani ya Chama ni sehemu ya maisha ndani ya Taasisi...hakuna aliye kamili kwa asilimia 100 ...watu hukosea lakini...
  14. L

    Rais Samia Amekuwa kama Imani kwa Watanzania Ambayo Huwezi kuwabadilisha watu kifikira. Amejijengea Himaya na Ngome yake katika Mioyo ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa Rais Samia ni Kama Imani kwa Watanzania. Ni Rais ambaye amefanikiwa kujijengea Himaya na Ngome yake binafsi ndani ya Mioyo ya watanzania. Huwezi kupenya na kuharibu imani hiyo ya watanzania kwa Rais Samia . Unaweza wapokonya watanzania kitu chochote kile lakini...
  15. L

    Taifa Latabasamu Na Kububujikwa na Machozi ya Furaha Baada ya Kumuona Rais Samia. Anapendwa Na Watanzania Kuliko Pesa Inavyopendwa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anapendwa kukubalika kuaminika na kutumainiwa Na watanzania. Kila Mtanzania anaamini Rais Samia ndio kila kitu katika Maisha yake . Nachokiona Huku mitaani ni zaidi ya Pendo wa Agape . Haya ni Mahaba ya watanzania kwa Rais Samia . Nashuhudia na...
  16. technically

    Rais Samia Yuko wapi

    Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea. Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote. Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
  17. L

    Watanzania Tuna kila Sababu ya Kumshukuru Rais Samia, Wakati Sisi Tuna Kula na Kuvimbiwa Wenzetu Ulaya Wanashinda na kulala na njaa

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake . Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
  18. L

    Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  19. H

    Waziri Mkuu awasili Marekani kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa Boralaug

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗠𝗪𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗢𝗥𝗟𝗔𝗨𝗚 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
  20. Pascal Mayalla

    Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

    Wanabodi Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF: PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The...
Back
Top Bottom