rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. kilio

    Rais Samia amefanya makubwa makubwa katika sekta ya nishati kuliko kiongozi wowote

  2. C0000-5068-428-1

    HOJA Pendekezo kwa Rais Samia: Kurasimisha sekta ya udalali ili kuongeza mapato ya serikali na kupunguza utapeli

    Hakuna taifa lolote liliendelea dunia i bila ya wananchi wake kuwajibika kulipa kodi, Mheshimiwa Rais Amani iwe nawe, napendekeza Serikali iangalie uwezekano wa kurasimisha shughuli zote za udalali nchini Tanzania kwa kuweka mfumo madhubuti wa usajili, utoaji wa vibali na ulipaji kodi. Kwa...
  3. Frank Wanjiru

    Maganya: Mzanzibar ruksa kuwa Rais baada ya Samia kutoka

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhil Maganya, amesema hakuna kikwazo cha kikatiba kinachomzuia Mtanzania kutoka Zanzibar kushika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu Hassan. Maganya ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa, Novemba 13...
  4. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AMPONGEZA RAIS SAMIA KUPANUA ELIMU YA AMALI

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu ya amali nchini, akisema uwekezaji huo unalenga kuwapatia vijana ujuzi utakaowawezesha kujitegemea. “Hii ni hatua kubwa sana, na inalenga kuwaandaa vijana wa Kitanzania kuwa na ujuzi,” amesema. Dkt...
  5. I

    Rais Samia ataka nishati safi ya kupikia ifikie kila kaya Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito wa kuongeza juhudi za kuhakikisha kila kaya barani Afrika inapata nishati safi ya kupikia, akisisitiza kuwa mafanikio ya ajenda hiyo yanapaswa kupimwa kwa idadi ya familia zinazopata huduma hiyo kwa gharama nafuu na...
  6. L

    Soma Hapa Ujumbe Mzito Wa Rais Samia Aliouandika Kwa Mkono Wake Kutokea Nchini Uturuki Kwenda Kwa Watanzania Na Dunia Nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mama kaongea,Rais wetu Kazungumza,Jemedari wetu Katamka,Kipenzi Chetu Katoa Muelekeo . Dunia Nzima Na Macho ya Dunia Nzima Kwa Sasa Yapo Alipo . Alipo Ndipo Palipo na Majibu na Majawabu ,Ndipo Palipo Na Dira na Muelekeo,Ndipo Palipo na Tumaini kuu la Dunia nzima . Rais...
  7. kavulata

    Nimeipenda hotuba ya Rais Samia UN, ameshangiliwa sanaa. Tunasonga mbele

    Hotuba fupi lakini yenye maana kwa kila neno. Kilichonishangaza ni makofi mengi kwake. makofi mengi haya maana yake nini? Utasema naongea uchawa lakini hebu sikiliza mwenyewe hapa. https://youtu.be/juimjW6PrDw?si=IH5XCbVEffcYZumv
  8. Parabolic

    TPA Yamshukuru Rais Samia Uwekezaji Wa Sh60 Bilioni Bandari Za Ziwa Victoria

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 60 katika kuboresha bandari za Mwanza Kaskazini, Bukoba na Kemondo, unaolenga kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo...
  9. Parabolic

    Samia: Nchi Tajiri Zigeuze Ahadi za Tabianchi Kuwa Vitendo

    https://www.youtube.com/watch?v=C9gd8xfaJ4g Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezitaka nchi zilizoendelea na wadau wa kimataifa kuhakikisha kuwa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) unazaa matokeo halisi kwa kugeuza ahadi zilizotolewa...
  10. L

    Hotuba Ya Rais Samia Yautikisa Umoja Wa Ulaya. Wazungu Wamshangilia na Kuguswa na Hotuba Yake Iliyotoa Majawabu Kwa Maswali yaliyokuwa Yakiwatesa

    Ndugu zangu Watanzania, Kila Anapokwenda Rais Samia ni Lazima Uone Ushindi Wa Alama 3 Muhimu ,Ni lazima Uone Vishindo vya Makofi na kushangiliwa ,Ni lazima uone akiibuka kinara wa Mkutano na kujadili na kila Mtu Ni Lazima uone Wanaomfuata Wote wakipata taabu kubwa sana ya kuzungumza mambo...
  11. O

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu Watanzania ni wakati tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa kukutana na Rais SAMIA ili kuzungumza kukwamua mkwamo wa kisiasa na hatma ya Tundu Lissu.Lazima...
  12. Zack Abdul

    Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
  13. Zack Abdul

    “Namshukuru rais Samia” — mzee Kugia akabidhiwa bajaji

    “Nilikuwa na mawazo, nilikuwa silali… Sasa Mungu ameniona kupitia kwako, kupitia Samia namshukuru.” Hizi ni shukrani za Jonas Machilu Seni Kugia, aliyepata ulemavu baada ya kugongwa na bajaji, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kumkabidhi bajaji ya kumsaidia kujipatia kipato. Mzee...
  14. N

    NO SUGAR-COATING: Kutolihutubia taifa la Tanzania siku ya October 29, 2026 (saa 3 usiku) Mama yetu (Rais Samia) alikosea sana..!!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Wana-JamiiForums salam, sina chuki au kinyongo chochote na mama yangu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ila kwenye ukweli acha tuseme tu. Ukizingatia ni tukio baya kuwahi kutokea katika historia ya Siasa zetu, Kutolihutubia taifa la Tanzania siku ya October 29, 2026...
  15. Sifi Leo

    Naomba nikumbushwe washauri wa rais Samia katika sheria, na siasa maana ninachokiona hata mwalimu wa sayansi kimu hawezi kukifanya,nyarandu ni nani?

    Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais? Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
  16. lord atkin

    Jaji Malata: Namshukuru Rais Samia kwa kuwanunulia mahakimu pikipiki

    Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Songwe Mhe Malata amekabidhi pikipiki sita (6) kwa mahikimu wa mkoa wa Songwe. Aidha Mhe Jaji Marata amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia kwa kuidhinisha fedha zilizowezesha upatikanaji wa pikipiki hizo. Chanzo: ITV online
  17. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia ateta na wajumbe wa kamati ya maridhiano Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kuhusu Maridhiano ya Zanzibar, leo Novemba 9, 2026, Ikulu jijini Dar es salaam.
  18. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia atuma salamu za pole vifo vya watu 21 katika ajali ya Iringa

    Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya Watu 21 waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la Abiria na lori la mizigo katika eneo la Masumbo, kwenye Barabara ya Iringa–Mbeya, Mkoani Iringa. Kupitia ujumbe wake, Rais Samia amesema amepokea...
  19. lord atkin

    Baada ya hukumu ya Tundu Lissu 4Rs za Rais Samia zipo wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya; 1. Reconciliation-Maridhiano 2. Reforms-Mabadiliko 3. Resilience- Ustahimilivu 4. Rebuilding-Kujenga upya Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
  20. Mikopo Consultant

    House of Cards: Je, uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia, upo mbioni kupata anguko kubwa la kihistoria?

    Kwa objective economists na mfuatiliaji wa hali ya kiuchumi ya hii nchi; kwa hapa uchumi wa nchi yetu ulipofikia na mazingira ya kisiasa ya nchi hii, inawezekana kabisa uchumi na mustakabali wa Tanzania, upo hatua moja au mbili nyuma ili kupata anguko ambalo halijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii...
Back
Top Bottom