rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  2. L

    Rais Samia Ni Kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita, Mtu Mzuri, Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja Naye.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ni mtu na kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita ,Mtu Mzuri ,Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja naye . Ni kiongozi ambaye amekamilika katika kila idara . Ni...
  3. Mejasoko

    Rais Samia alishinda kihalali kwenye ulimwengu wa roho na mpinzani wake mkubwa (Lisu) alikubali huku akipokea manuizo hayo kwa bashasha!

    Ulimwengu wa roho inabidi uwe Pro active sana!, Ilikua kabla hata ya uchaguzi mkuu wa Chadema Mama yetu kipenzi aliona mbali akamaliza kile ambacho kingemsumbua sana October 29, 2025, watu wanadhani ni mauaji ila sio, August 2024, rais alitembelea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliamuru...
  4. L

    Misimamo Ya Rais Samia Ni Zaidi ya Mwalimu Nyerere. Hakuna cha ICC wala Marekani wala Umoja wa Ulaya . Wote Wametimua Mbio na Kuanza Kuinua Mikono Juu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akinukuu Maneno ya Hayati Benjamini Mkapa Alishasema hadharani kwa kujiamini na kusema kuwa kama Taifa tupo tayari kupokea ushauri wa Yeyote yule lakini siyo kupewa...
  5. zimmerman

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo: Kwanza, usiturudishe...
  6. Dalton Elijah

    SI KWELI Muombeeni Samia hali yake ya afya ni mbaya sana

  7. L

    Moyo Wa Huruma Upendo na Ukarimu. Rais Samia Amzawadia Bajaji Mpyaaa ISSA Musembe Mwenye Ulemavu na Muimbaji wa Nyimbo Za Uzalendo

    Ndugu zangu Watanzania, Mfariji Nambari Moja wa Taifa hili na Tumaini la Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia Kwa Moyo wake wa Upendo, Huruma na Ukarimu Amezawadia Issa Musembe Ambaye ni Mlemavu na Pia...
  8. L

    Rais Samia Hajawahi Kushindwa Ama Kupoteza Vita Yoyote ile na hajawahi kushuka tangu alipoinuka

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo wa Rais Samia madarakani na kitini . Watanzania tumepata Rais hodari ,Rais Imara madhubuti shupavu hodari na Makini kwelikweliiiiiii. Tumepata Rais Kwenye Nguvu ya Maono na Ushawishi. Tumepata Rais Ambaye ana ukomavu Wa...
  9. L

    Rais Samia Ni Jasusi Hodariii ,Amefanikiwa Kuwamaliza Nguvu Wanaharakati na Kuwaanika Uzushi wao. Njaa Imepiga Kambi Kwenye Kambi zao

    Ndugu zangu Watanzania, Usicheze na Jasusi Bobevu ,Usicheze na Gwiji wa Siasa Ukanda wa Afrika na kusini Kwa Jangwa la Sahara,Usicheze na Mtu Aliyeandaliwa kushika Urais hata kabla ya kuzaliwa kwake . Usicheze na Mtu Aliyepikwa na kupikika na kuiva Kimedani . Rais Samia ni Gwiji na Jasusi...
  10. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati za Balozi Mteule wa Ufaransa

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.
  11. R

    Mpina: Kujaza washauri wasio rasmi Ikulu halikubaliki kikatiba, Rais Samia amekuwa akiunda vyombo vya ushauri nje ya utaratibu

    Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, ameanisha dalili zinazoonyesha kuwa Tanzania ni taifa lililofeli (failed state), akielezea uwepo wa washauri wa Rais wasio rasmi ndani ya taasisi ya Urais jambo ambalo ni...
  12. Pascal Mayalla

    JPM Alimuenzi Nyerere Kiukwelikweli kwa Kumuishi kwa Kauli, Maneno na Matendo!. Rais Samia Ana Fursa Adhimu na Adimu Kumuenzi Nyerere!, Je Atamuenzi?

    Wanabodi, Leo ni Nyerere Day, hii ni makala yangu kkwenye gazeti la Mwananchi la leo nikimzungumzia Mwalimu Nyerere nilivyomjua tangu nikiwa mtoto, nikamhudumia kanisani, nikahudumu kama MC wa harusi ya binti Nyerere, nikiwa mwandishi habari nikam cover, nikasafiri nae safari za nje ya nchi...
  13. Zack Abdul

    Fursa zamiminika uongozi wa Rais Samia

    🔹Takwimu zaonesha shehena katika Bandari ya Dar es Salaam imeongezeka kwa 83%. 🔹Ni wakati matarajio ya makontena ya mwaka 2031, yapatikana 2026. 🔹Jiji la Dar es Salaam lazidiwa na mahitaji ya malori, bandari kavu.
  14. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 70 ya taasisi za Kiraia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili, Usimamizi na Udhibiti wa Jumuiya za Kiraia yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 27-29 Mwaka 2026 jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  15. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa UAE

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Mohamed Salem Ahmed Al Rashdi, Balozi Mteule wa Falme za Kiarabu (UAE) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026. Soma Pia: Rais...
  16. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Ingrid Johansson, Balozi Mteule wa Sweden hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  17. Zack Abdul

    Rais Samia akutana na Balozi mpya wa Ubelgiji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mheshimiwa Lot Debruyne Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  18. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati Balozi mpya Ujerumani

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Annett Gunther, Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  19. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati za Balozi Mpya wa Nigeria

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Rahmat Omobolanle Mohammed Balozi Mteule wa Nigeria hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  20. Zack Abdul

    Rais samia awapa supu washiriki baada ya mwenge vijana marathon

    Vijana walioshiriki Mwenge Vijana Marathon leo asubuhi katika Manispaa ya Sumbawanga wamepata fursa ya kupata supu iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, hatua iliyopokelewa kwa shukrani na washiriki hao. Akizungumza baada ya mbio hizo zilizoongozwa na...
Back
Top Bottom