rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  2. K

    Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya...
  3. O

    Viongozi wa CHADEMA wasione ni aibu au fedheha kukutana na kuzungumza na Rais Samia ili kumaliza kesi ya Lissu kwa njia ya mazungumzo

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa bado tunaamini kwamba mazungumzo kati ya CHADEMA na Ria Samia ni tiba na suluhu kwa kesi ya LISSU na ni suluhu kwa mkwamo wa kisiasa nchini.Migogoro ya kisiasa humalizwa kwa njia ya mazungumzo mezani na ndio namna pekee tu ya kumaliza mizozo duniani...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Maandamano makubwa kumpokea Lissu uraiani tar 6 November 2026. Rais Samia atashikwa na butwaa na kuona aibu kubwa

    Pamoja na kuwa madarakani anachukiwa na wananchi wa rika zote. Amefiwa na mume wake wananchi wanashangilia. Rafiki yake Chivayo amekufa watu wanashangilia kwa komenti ya kifo ni kifo. Maandamano makubwa kama yaliyotokea Venezuala kumpolea hayati Chavez akitoka jela ndii yanakuja kutokea hapa...
  6. Zack Abdul

    Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  7. peno hasegawa

    Rais Samia ametuma salamu kifo cha bilionea Chivayo ,Je kuna uwezekano,kwenda kuhudhuria mazishi yake akiwa yuko EDA?

    Wakuu wa Vyombo,nimeuliza tu! Mkija kunijibu, muwe mnanukuu baadhi ya vifungu vya Quran Takatifu,ili kutupa uelewa zaidi. Karibuni
  8. Zack Abdul

    Maono ya Rais Samia yanayogusa maisha yangu katika Sekta ya Afya

    Serikali ya Awamu ya Sita inatekeleza Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote nchi nzima kuanzia zahanati za vijijini hadi hospitali za kitaifa. Lengo likiwa kuzuia ugonjwa kuwa chanzo cha umaskini. FAIDA KUU 4 KWAKO NA FAMILIA • Matibabu Bila Pesa Taslimu: Nenda hospitali, pata vipimo, na chukua dawa...
  9. Zack Abdul

    Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

    Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...
  10. peno hasegawa

    Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

    Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama. Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida! Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu. Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho...
  11. kavulata

    Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
  13. Zack Abdul

    Matokeo ya juhudi za Rais Samia katika sekta ya utalii, avunja rekodi

    Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001. Kulingana na toleo la 25 la utafiti huo ilipokea wageni wa kimataifa 2,294,495 mnamo mwaka 2025...
  14. Waufukweni

    Uteuzi: Ulega ateuliwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kadogosa Waziri wa Ujenzi, Homera Waziri wa Nishati

    Rais Samia amefanya uteuzi wa viongozi; (i) Masanja Kungu Kadogosa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi; (ii) Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Kabla ya uteuzi huu, Ulega alikuwa Waziri wa Ujenzi; (iii) Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameteuliwa kuwa...
  15. C0000-5068-428-1

    Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  16. Zack Abdul

    TONE LA MAJI LA KWANZA KILWA LAFUNGULIWA,WAZEE WAOMBA DUA KWA RAIS SAMIA

    Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji. Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
  17. Boss la DP World

    Kwanini Rais Samia Hahutubii Kwa kutumia Gari la wazi au viwanja wa wazi?

    Tafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone. Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo kuhusu ndugu yangu Humphrey Polepole. SIJASAHAU NA SITO SAHAU KAMWE.
  18. Hance Mtanashati

    Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

    Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi . Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini . Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
  19. Zack Abdul

    Rais Samia aongoza dhamira ya Afrika kutokomeza vifo vya mama na mtoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri katika kusukuma mbele ajenda ya Afrika ya kutokomeza vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na mtoto, huku bara hilo likikabiliwa na karibu asilimia 70 ya vifo vya akina mama duniani na takribani...
  20. Zack Abdul

    UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
Back
Top Bottom