maisha

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Taifa Lingine Duniani Linalojua Sana Maisha ya Mastaa Kama Tanzania?

    Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu. Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Hey people, Good evening Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Sababu ilikuwa ni ipi? Naanza, Wakati nasoma niliwahi kupendana na mtu ambaye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, baadae akaja niambia ati tuachane na mbaya zaidi akaanza kupendana na mdada mwingine pale pale class(ilisemekana hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Katika watu wanaishi maisha ya rahaa mfano ni prof mussa juma assad.

    Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho. Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara. Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi. Ukiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na vita maisha ya Ukraine yaendelea kawaida na wanakula bata zaidi ya Mwanamatumbi

    Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida tumeruka music na mke wangu na familia then...
  6. JamiiForums Tanzania EPISODE 01: Maisha yalivyo magumu kwa watoto wa kike wanaoenda Nje, hasa Asia

    Naaaam Jumapili fulan tulivu Ewe Mzazi usithubutu kumruhusu mwanao Kwenda kufanya kazi Dubai , Thailand na Maeneo mengine ya Asia hasa akiwa wa kike Hili ni suala gumu lakini muhimu kulizungumzia Wengi husikia "Dubai au China au Thailand ni pesa na kula maisha" lakini upande mwingine ni...
  7. JamiiForums Tanzania Trend ya Wabongo kuiga maisha ya Movie za 70s na 80s na kufanya ndio maisha yao bora kwa sasa

    Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami. Karibuni kwa mjadala
  8. JamiiForums Tanzania Kujua maisha ni nini tembelea sehemu tatu

    1. Hospital 2. Jela 3. Makaburini Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa. Jela utajua umuhimu wa uhuru Makaburini utathamini umuhimu wa maisha. Kuwa mtulivu!
  9. JamiiForums Tanzania Nani anafurahia maisha kati ya alieoa au alie kuwa single?

    Ukiwa kwenye ndoa ukitaka kuwa na furaha lazima na mwenza wako awe na furaha lakini ukiwa pekeako unafurahia uhuru wako wewe unachagua nini? Ukioa uwezi kulala bila ruhusa ya mwenza wako lakini ukiwa pekeako unachagua wewe muda gani ulale bora kipi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

    Biashara ikiyumba hadi kufirisika Ukifukuzwa kazi Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu Kufungwa Jela n.k.
  11. JamiiForums Tanzania Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
  12. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  13. JamiiForums Tanzania Shangilieni ushindi kwa Iran kwa maana maisha yanaenda kuwa rahisi sasa

    Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran. Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran. Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya 1. Kutotengeneza makombora 2. Kutorutubisha uranium 3. Kufungua mlango bahari...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Punguzeni Ushauri Kwenye Maisha ya Watu!!

    Acheni watu waishi wanavyotaka kwani ndani yake Kuna msivyovijua.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Maisha yetu ni siasa, huwezi kujitenganisha na siasa

    "Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa. Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
  17. JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  18. JamiiForums Tanzania Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

    Ladha ya maisha unaipata kwenye nini? Watu husema bila afya, maisha hayana ladha Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya maisha na kujisitiri na mawazo ya kila siku Wengine huona raha na ladha ya maisha kupitia mapenzi na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Original Content (OG) za Maisha ya chuoni

    Habari wanajamii, Natafuta watu binafsi, creators au timu zenye Original Content (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni. Maudhui ninayohitaji ni pamoja na: Burudani na maisha ya kila siku ya wanafunzi Elimu na maendeleo binafsi Mahusiano na...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ungezaliwa tena ungependa uishi maisha gani? Kulingana na experience yako ya maisha ya sasa

    Kamwene Streight to the point / swali sio la kijumla ni la kibinafs, ningependa niwe kama hivi tu nilivyo ili hali ya moyo wangu ibadilike kidogo, nimekuwa na moyo wa huruma kupitiliza Ikitokea nimepita barabarani na mtu asiyejiweza kunizidi akiniomba pesa au msaada na kwa mda huo pengine sina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…