maisha

  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuacha maigizo na kuanza kuishi uhalisia

    Katika ulimwengu wa leo, watu wengi wamewekeza zaidi kwenye kuonekana kuliko kuwa. Tumekuwa na utamaduni wa kutafuta sifa kabla ya mafanikio, kutafuta pongezi kabla ya matokeo, na kutafuta kuaminiwa kabla ya kuthibitisha uwezo wetu. Mitandao ya kijamii imejaa picha za mafanikio, maneno makubwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyekatazwa asicheze na mimi utotoni, leo anashangaa maisha ninayoishi. Tatizo halikuwa mimi, bali namna alivyolelewa

    Habari wana JF. Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake: "Usicheze na yule mtoto." "Huyo atakufundisha tabia mbaya." "Usiende kwao." Lengo mara nyingi huwa ni jema. Wazazi wanataka kuwalinda watoto wao wasiharibiwe na mazingira. Tatizo...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mdada wa aina hii asikukubali tu kwa hali ya kawaida uliyonayo mjenge pamoja maisha? Kwanini sisi wapambanaji wa chini ni ngumu kuwapata?

    Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
  10. JamiiForums Tanzania Haya sasa maisha matamu usiku huu Singapore

    Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu 🍷🇸🇬
  11. JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya kifo au tukifa ndio mwisho wa kila kitu

    Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu? Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu mtu aliyekuacha kurudi kwenye maisha yako, umemruhusu akuchukilie poa!

    Anachoongea kwa maandishi "Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

    Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha. Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya...
  14. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: ni heri Tundu Lissu afungwe maisha jela ili tupate Katika Mpya iliyo bora, hata kuandamana kutakuwa sahihi.

    Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM wanataka Katiba yakuendelea kubaki madarakani nao makapuku wenzangu wao ndio hawajui chochote zaidi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tupumzishane wajameni hakuna aliyerudi duniani mara ya pili, motiveshono spikas wamekuwa wengi kuliko spika zenyewe.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo yanakosa mizizi ya uhalisia. Ni rahisi kusimama mbele ya watu na kusema “fanya hivi, acha vile”, lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  18. JamiiForums Tanzania Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

    Kwema Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes inajitokeza unaitumia Wengi hii asilimia ya uchizi Wana iamsha na pombe, bangi .. vilevi tofauti tofauti ...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika, waliokuwa hawapokei Simu zangu leo nimekuta missed call zao

    Katika maisha, tujifunze kuishi kwa maadili, heshima na adabu. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, ukipata nafasi ya kupumua na kuona hatua moja mbele, usisahau kumshukuru Mungu. Kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa. Wapo wanaowahi kufika kwenye mafanikio, na wapo ambao safari yao huchukua muda...
  20. JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…