maisha

  1. JamiiForums Tanzania MORNITORING SPIRITS/ROHO ZA GIZA ZINAZOFUATILIA MAISHA YAKO

    Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani) ambacho kitampa pia heshima na kuthaminiwa . DALILI ZINAZO ONYESHA UMEKWISHA IBIWA KITU CHAKO CHA NDANI...
  2. JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
  3. JamiiForums Tanzania Maisha lazima uishi, maisha yenyewe mafupi

    Salaam jamiiforum Kuishi ni lazima, Kuishi ni kuvifurahia vitu,kama Kula vizuri, Kulala pazuri na kuvaa vizuri. Bahati mbaya vitu tunavyotamani havipatikani kirahisi lakini ,naamini kila mmoja anatamani kupata kilicho bora. Bro,hata uwe bize na majukumu vipi usisahau kuishi,enjoy maisha Kula...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni kama movie na wanawake kwangu ni kama ruby

    Sijui ni zimwi. Sijui ni uraibu. Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao. Nimeshafanya style zote, wanawakae wa aina zote, lakini bado sitosheki, Imekuwa kama adventure...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna wakati vijana waliishi kuendana na rythm ya maisha hata kwa ugumu kuna namna waliitafuta humour ila sasa hivi vijana wamekuwa sadists kupindukia

    Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted. Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija. Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha. Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya fikra duni za maisha, kunyanyaswa kwa watu na kujipa moyo ''wapambanaji'' ni uzwazwa

    Habari wanaJF . Niende moja kwa moja kwenye mada kuu . katika kile kinachoendelea hasa huko south , ukweli ni kwamba lazima mkubali nyie ni wakimbizi , kuujua ukweli ni kupona: kwa nn ulazimishe kuishi kwa watu na wenyewe hawakutaki? Kumekuwa na kasumba kwamba eti ni ''wapambanaji '' ukweli ni...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha yako ni kama Fremu… Finishing unafanya mwenyewe

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame). Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu ya awali uliyopata. Lakini uzuri wa hiyo nyumba, nakshi zake, na thamani yake ya ndani inategemea...
  8. JamiiForums Tanzania Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

    Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana? Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira? Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
  9. JamiiForums Tanzania Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  10. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

    Huku labda uwe unakula mihogo tu. Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani? Hafu sehemu local tu wala sio ushuani. Hii sumu 1,200/= Hapo Shoppers 850/= Huku ila mafuta bei ile ile kama mjini.
  11. JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena nawaombeni mtumie akili, mnaenda kudili vipi na risasi zitazowapotezea maisha na ulemavu wa maisha?

    Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana, mnaposti kwenye mitandao ya kijamii, mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika. Lakini jiulizeni kwa kina je, mmejiandaa kukabiliana na hali halisi inayoweza kujitokeza? Mnapofika barabarani, mambo hubadilika. Mnafyatuliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Our lives were meant to be this way.

    Hivi ushawahi kujiuliza kuhusu huu mfumo wa kwamba....Kwanza tunahitaji pesa ili kwenda chuo...kisha tunahitaji chuo ili kupata kazi.....kisha tuna hitaji kazi kwaajili ya kupata pesa. Pesa → Chuo → Kazi → Pesa halafu unarudia tena. Kama panya kwenye gurudumu. Unaenda mbio, lakini hubadiliki...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchumi wa "Mr" umeyumba, nalea familia mwenyewe, maisha ni magumu sana, natamani kujiua

    Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku akilia kuwa daktari kasema siwezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida kwani ule mrija wa kupitisha...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usikate tamaa

    Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo
  16. JamiiForums Tanzania Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

    Wakubwa shikamoon Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa. Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
  17. JamiiForums Tanzania Hauko siriazi na maisha kama unapambana na mambo haya kwenye mahusiano

    Kama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka hasana.
  18. JamiiForums Tanzania Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

    Habari zenu. Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka). Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara ambalo maisha ya watu wake ni duni kuliko mabara mengine. Zipo sababu nyingi zinazochangia, moja kati...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yanazidi kuwa machungu kwa hizi nauli mpya

    Baadhi ya taasisi watumiaji wa daladala kupata shida mfano walimu, madaktari, na wanafunzi kuchelewa kwenye vituo vyao. Leo asubuhi wasafirishaji wa wanafunzi kutoka mabibo hostel Wagoma
  20. JamiiForums Tanzania Kwa maisha jinsi yalivyo hapo bado hujafika, muombe sana Mungu akuepushe na MAJANGA soma hiki kisa cha kweli!

    Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu, Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi. Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…