kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania nifundishe kazi yako au ujuzi wako nipo tayari kujifunza na kufundishika.

    poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema. Nifundishe ndugu nipo tayari...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KWENYE KAZI ZA POLISI MWENYE KUJUA HILI ANISAIDIE

    Hapo nmekwama na sjui lakufanya
  3. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya uhandisi wa mekaniki

    nipo mkoa wa Dar es salaam,
  4. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJUA KUHUSU UJENZI PITA HAPA UONE NAMNA TUMEKAMILISHA KAZI ZA WATEJA WETU KUANZIA DESIGN HADI UJENZI +255624004650

    SISI TUNAHUSIKA KATIKA DESIGN NA UJENZI MAKINI SANA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shilole: Vijana wa Kitanzania acheni kunisumbua DM kunitaka Kimapenzi ili niwalee au mlelewe, bali tafuteni Kazi mfanye shauri yenu kuweni makini

    Nimependa sana Shilole hapo alipomalizia na sentensi ya shauri yenu kuweni makini kwani kuna 'Pancha' nyingi zinakuja.
  6. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi waliosabibisha hasara kubwa kwenye mashirika ya umma wajiuzulu, Rais futa watu kazi

    Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, Umeshakaa ukijiuliza mistari hii kwenye taulo ni ya nini? 🤔

  8. hungary

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi. Elimu diploma ya clinical medicine

    Husika na heading hapo juu Elimu diploma ya clinical medicine GPA ya 5.0 Kazi anazo weza kufanya 1. Kutibu wagonjwa both symptomatically and clinically 2. Kufundisha masomo ambayo anayoweza kufundisha . Patient care . Reproductive and chilid health RCH . Biology ...
  9. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Wajenzi makini katika kazi zetu

    Design and build Mapwepande now we are working on landscape Kupata huduma zetu +255624004650
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Rate our work on this mansion

    Rate our work on this mansion ukipenda kazi zetu call us +255624004650
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Una Biashara au Kazi Iliyofichwa?"

    Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya kusisimua—wateja walikuja, pesa zikaingia, na alijivunia kuwa mmiliki. Lakini kadri muda ulivyopita, Ethan...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe

    Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe? Ili brand yako ikue ni lazima upate wateja wapya na wateja waliopo waendelee kufanya kazi na wewe. Huwa natumia hizi njia kumfanya mteja aendelee kufanya kazi na mimi.. Tunatumia gharama sana kupata wateja..! Tunatumia nguvu sana...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Kazi.Habari natafuta kazi yoyote npo dodoma nna miaka29 elim nna degree ya development studies.experience nna ya miaka mitatu ya kufanya kaz kam sales officer bank
  17. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Majaribu ndio hayo wakuu, Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo. alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom) Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Anaye kukopesha ndio unamlipa kukufanyia kazi.

    Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika. Zijenge miundombinu. Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi. Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao. Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa...
Back
Top Bottom