kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ukipangiwa majukumu kazini na mwanamke utakoma, wanawake sio wafanyaji kazi kabisaa

    Omba usipangiwe majukumu na jinsia ke utajuta! Hiyo kazi utaifanya mwenyewe Ni hayo tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

    1. Msoma adhana 2. Mwalim wa madrasa Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi. Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania BASATA fanyeni kazi yenu kwa Miss Grand. Kajianika sana

    Huko kwa Miss Grand, walijianika sana, uchi uchi. Basata mko kimya, au mwisho bongo land tu?
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Nickson Simon John awataka watumishi Songwe kujenga utamaduni wa kazi unaotoa matokeo

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi. Akizungumza katika kikao...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Mochwari tu ndizo zinafanya kazi - Msanii DJ Shitti Aikosoa Serikali na SHA kwenye mazishi ya Babake

    Mchekeshaji na Muigizaji DJ Shiti amezua mjadala kuhusu mfumo wa afya nchini baada ya kutumia hotuba yake katika mazishi ya babake, Richard Ndege, kuikosoa Serikali kuhusu utekelezaji wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) na changamoto zinazowakabili wagonjwa katika Hospitali za Umma. DJ Shiti...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupitie upya syndrome hawa watu ni wazuri sana kwenye kufanya kazi ndogo ndogo hata biashara kubwa zako.

    Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana. Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana. Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo. wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi. Kuna kazi ukiwapa...
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ana dimpoz na tacle la maana

    Wakuu nimepata mdada mnyamwezi wa Tabora nimegundua nahitaji ujasiri wa hali ya juu kuepuka hiki kishawishi. Mtoto anaumbo tamu na viji dimpoz kiuno chembambaaa. Nawatakia kazi njema.
  8. Giovanni Mugillanetza

    JamiiForums Tanzania Kazi Kada ya Kuonja Chakula Ikulu

    Hii kazi ni kama ya kizembe ukiiona ila ni moja ya kazi ngumu sana duniani.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Simiyu haifanyi kazi, abiria wanatozwa nauli ambazo haziendani na umbali wa safari

    Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo nauli inayotozwa ni Sh3,000, huku umbali kutoka Mwakibuga wa km 6 ukitozwa Sh2,000. Umbali kutoka...
  10. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wanawake Wanaolea Watoto, Nimejaribu na Kugundua Ukubwa wa Kazi Hii

    Kulea watoto ni zaidi ya kazi. Weekend iliyopita, mke wangu alienda kwenye msiba ,alifiwa na shangazi yake. Sehemu ya msiba iko karibu na makazi yetu, takribani kilomita 20 hivi. Nilimwambia aende, na kwamba mimi nitakuja siku ya mazishi,Nilimshauri asiende na watoto. Wakati huo, dada wa kazi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo kushiriki kikao cha "The Face of Digital Democracy 2026", Copenhagen, 7/10/2026

    Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya nyumbani huipendi kabisa kuifanya?

    Nyumbani kuna kazi nyingi sana zinazotumia muda mwingi na haziishi zinajirudia rudia kama kupika, kusafisha nyumba, kuosha vyombo nk. Kati ya kazi hizo mie sipendi kabisa kufuta vyombo na kupanga kabatini nafanya kwa sababu nalazimika ila kungekuwa na mtu wa kuwa anapanga mie naosha tu namaliza...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi ya ulinzi

    Majina yangu kamili ni ERICK HURBERT SHAO elimu yangu form 4 hivyo najua kuhesabu kusoma na kuandika vizuri. Mimi ni Gateman, kazi yangu ni ya kuanzia saa 11 jion hadi saa 6 usiku ninapumzika vizuri nipo Uyole, Mbeya naomba kama kuna fursa ya kazi yoyote ile ya kila siku naomba mnisaidie mimi...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt. Francis Daudi Mlacha aapishwa kuwa DC Kahama, RC Mhita amkabidhi vitendea kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Miji 28 Ifakara sasa kazi kwa saa 24

    Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema. Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) amesema akikagua mradi huo Oktoba 2, 2026 kuwa uamuzi wa kufanya kazi hivyo utafanikisha...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1998 nilikosa kazi ya upolisi kwa kukimbia sana, nikaambiwa nina mbio za mwizi na wala sio za askari

    Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maombi yana nafasi yake, lakini usitumie maombi kama mbadala wa mipango, kazi, maarifa na hatua za kiuchumi

    Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto. Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
  18. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

    Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile...
  19. Stability

    JamiiForums Tanzania Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  20. alcacer

    JamiiForums Tanzania Kazi ya udereva

    Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu Nàomba Kazi ya Udereva, Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language Driving Licence ✅ Cheti (VETA) ✅ National ID ✅ Naendesha Gari ndogo zote(D) Automatic&Manual kwa sasa Nipo Dar es salaam Nna Familia bado...
Back
Top Bottom