kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  2. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi

    Tuna nafasi za Kazi Mbalimbali, uwe na uzoefu usiopungua Miaka 3 kwenye kila Nafasi. 1. Logistics Manager-Dodoma 2. Trucks Engine Mechanic-Dodoma 3. Big Truck Driver-Dodoma 4. Driver-Dar es Salaam 5. Accountant CPA-Dodoma 6. Social Media Manager-Dar es Salaam Utapigiwa simu, Tuma CV yako...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya halaiki kwa Magaidi: Israel inafanya kazi nzuri sana kuwaua Magaidi huko Gaza!!

    Mazishi ya halaiki yamefanyika katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, leo, kwa ajili ya Magaidi 112 wa familia za Abu Sharia na Al-Hasaina, ambao miili yao ilipatikana katika wiki 2 zilizopita kutoka chini ya kifusi cha makazi katika kitongoji cha Sabra. Magaidi wa Hamas wanasema eneo hilo...
  4. Optimists

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu ukiiacha mizimu ya kwenye lazima ikushukuru

    Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia hiyo mwalimu alikuwa anafanya kazi ya mkurugenzi. Siku zote nawashauri walimu nenda shule kazuge...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tanzania haitayumbishwa kwa sababu ya mabeberu kutunyima misaada, labda watafute vikwazo vingine

    My Take Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mtu sahihi wa kufanya naye kazi

    Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

    Hamjambo! Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake. Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu. Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: AI Haitachukua Kazi Hizi 4

    Bill Gates Asema Kazi Hizi 4 Tu Ndizo AI Itapata Ugumu Kuzichukua Kutoka Kwa Binadamu. --- Kwa miezi kadhaa, kila taarifa mpya kuhusu AI imekuwa ikivuka mstari wa kile tulichodhani hakiwezekani. Leo AI inaweza kuandika programu, kuchambua data, kuzalisha video na kufanya kazi ambazo zamani...
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unasubiri nini kumfukuza kazi Rose Manumba wa Shinyanga?

    Yaani Tanzania ni banana republic. Leo weekend nimetulia nasoma habari za Tanzania, nkakutana na kituko Cha Karne. Rose Manumba DED wa Msalala-Shinyanga, halmashauri yake imepata hati chafu Kwa miaka miwili mfululizo, mwaka huu eti wakaguzi kutoka wilayani, walizuiwa na huyo Kibaka Rose...
  11. papag

    JamiiForums Tanzania Ubinadamu kazi!

    we unaonaje?
  12. P

    JamiiForums Tanzania KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

    Habari wakuu? Nahitaji mtaalamu wa maabara wa kubadilishana nae kituo cha kazi AJE MTWARA NIENDE MBEYA(wilaya yoyote) Asanter
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wiki nzima NMB, Atm na Nmb mkononi hazifanyi kazi

    Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao. Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako. Nmb mnafeli wapi?
  14. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  15. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kupaka rangi Nyumba ndani na nje karibuni

    TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani. Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
  18. Teacher_

    JamiiForums Tanzania Kuna binti anatafuta kazi ya duka la Jumla au Rejareja

    Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa. Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Reja Au La Nguo Yupo Dar Manzese Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nikienda bar nadili na wale wafanya kazi wadogo wadogo

    SITAKI yule mmliki Elie kaunta, asije akaniambia sijui itabidi uninu ulie masofa niweke kwa jili ya wateja. Wale wafanyakazi wanalipwa elfu3/4 kwa siku, ukimuonyesha kibunda analoa hapohapo
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi India 🇮🇳, Polisi asimamishwa kazi kwa kufyatua risasi hewani.

    https://youtube.com/shorts/jof90QKuFB0?si=hclAlCCqaPicJ6CD
Back
Top Bottom