kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua au kazi Geita mimi ni wakike

    Jamani maisha magumu mwenye connection au kazi au kibarua kwa geita au Mwanza pls nahitaji
  2. Mr Ha

    JamiiForums Tanzania Je, aamue Kuendelea na kazi ama aende Chuo?

    Habari wana jukwaa! Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu. Ana mke na watoto, Na kama...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi. Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi. Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Husika kichwa cha habari hapo chajieleza, kugomea kufanya kazi kwa basi ambalo lilisajiliwa kufanya kazi ya kusafirisha abiria ni hujuma kubwa sana. Hebu jiulizeni wagonjwa wangapi wameshindwa kupata huduma za afya? Watoa huduma wangapi wameshindwa kutoa huduma kwa kushindwa kusafiri? Hii...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kwanza anachofanya Msambaa baada ya kupata kazi ni kumroga bosi

    1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya. 2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso. 3. Wanawake zao ni pisi sana
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Pesa ni numbers, pesa sio maneno, pesa sio process yoyote, Pesa ni numbers. Kumbuka una hela ila hauna pesa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini points wakatwe madereva pekee yao wakifanya makosa katika kazi yao?

    ●Vipi rais akifanya makosa? ●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao? ●nani anawakata points askari? maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu. Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu? Sheria zipo; Kama □kuonywa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB. Akaenda...
  12. Zerock

    JamiiForums Tanzania “Sitasahau Kazi Niliyoipata ya Kuuza Vyombo Mtaani

    Nakumbuka siku moja nikija kwenye msoto na ukata + jobless,nimekaa zangu nasikiliza redio flan kipind cha michezo. Mara likatolewa TANGAZO LA KAZI,nikaona fursa hii hapa,nikanakiri zile namba. Baada ya kumaliza kipindi cha michezo nikaamua kuipiga ile namba....mara nikasikia saut ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani unatumia kutathmini ubora wa kazi iliyofanyika?

    Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango 1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k 2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara 3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k 4.Mama ntilie uliyeajiri watu...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Femi: Wanawake wa Singida tukiacha kazi ya baamedi, baa nyingi zitafungwa

    Muigizaji mashuhuri wa tamthilia ya Jua Kali, anayejulikana kama Femi, ameibuka na kutetea wanawake kutoka Mkoa wa Singida wanaofanya kazi ya uhudumu wa baa (baamedi), akieleza kuwa uwepo wao kwenye sekta hiyo unatokana na muonekano wao na mvuto wa kipekee unaosaidia kuvutia wateja. Femi...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026

  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumefukuzwa kazi UDART, tumeenda PSSSF michango yetu mingi haijaingizwa wakati tulikuwa tunakatwa

    Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya michango yetu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) kutoingizwa kama inavyotakiwa licha ya kwamba...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Hotelini, kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji

    Habari ndugu zangu! Nahitaji kazi. Mimi nimesomea hotel katika kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji, nipo Zanzibar. Yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi, Mawasiliano yangu ni 0724881371 au ani-PM nitasoma ujumbe wa inbox na kuufanyia kazi haraka. Asante.
  18. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnawezaje kuwavumilia wanawake ambao hawana kazi?

    Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama “Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..” Najua tayari sentensi inayofuata ni “Naomba….” Wakuu Mwanamke asiyekuwa na kazi ni Mzigo Mkubwa sana ,Shida zake ni kama seasons,Ukimaliza...
  19. covid 19

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliyopita mtu angekuambia utazungumza na kompyuta kama mtu, ikuelewe Kiswahili, ikuandikie barua na ikusaidie kazi ngumu” usingeweza kumuelew

    Ukiangalia simu, computer, magari na mifumo mbalimbali ilivyobadilika ndani ya miaka michache tu, unaweza kujiuliza miaka 20 ijayo itakuwaje. Kwa upande wangu, naona sekta ya afya inaweza kubadilika zaidi. Huenda siku moja watu wasihitaji tena kwenda hospital kupanga foleni kwa ajili ya vipimo...
  20. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya kazi STRABAG karibu tupige porojo

    Naam hapa tutakutana na watingaji pamoja na wasoteaji, Kwa ujumla wake wale ma TX wakongwe. Madereva Maopereta Ma Foreman...hasa wale wanoko SEcurity oficers na walinzi hasa wale washkaji Tukumbushane ulikuwa mradi gani,,mfano barabara ipi km ngapi. Vituko vya mitaani katika maisha ya...
Back
Top Bottom