kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito

    Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine. Lorna ni miongoni mwa wanawake waliokumbatia kazi hii ili kuzisaidia familia ambazo zimekosa kupata watoto . Nilikaa chini nikawaza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Songea

    Vijana wenye nguvu ,akili , jitiada tusio chagua kazi mkoa wa Ruvuma , kila pande tunakwenda kufanya kazi kikubwa malipo tuu ivyo kazi yeyote hali tupo vijana wenye umri wa miaka 23 ivyo tunataka kutumikia jamii na taifa namba 0762472799 Email mustaphakomba2003@gmail.com
  3. Dolla_Mbili

    JamiiForums Tanzania WANAHITAJIKA MAFUNDI UJENZI DAR-ES-SALAAM, UBUNGO, KAZI NI UPIGAJI WA PLASTER

    Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu, Asubuhi na mapema tukimbizane........ Kazi ni kubwa na mafundi ni wengi sana wanaohitajika kwa wepesi...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla Cybercab imeanza kufanya kazi rasmi baadhi ya majimbo USA. Sema Bei kwa route ni ya moto na demand kubwa sana!

    Kama mnakumbuka, October 2024 Tesla walikua na Event wakazindua Robitaxi zao wanazoziita Cybercab, unarequest gari (kama Uber), inakuja bila dereva, inakupeleka unakotaka kwenda. Easy. Tesla wamezindua Cybercab (Robitaxi) Tesla wamezindua Cybercab Robitaxi II Sasa kawaida ya Tesla, wanatangaza...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  6. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kumtetea Mungu ni kazi sana!

    Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani? Inakuwaje Mungu anakuwa na...
  7. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  8. kijiwesports

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi

    Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia nimesoma graphic designer kama kuna taasisi au mtu binafsi naomba unishike mkono kutoka na fani zangu...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Tunaomba,serikali ituambie imepata faida na hasara kiasi gani kwa ndege zetu kwenda urusi!
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya Afya anagawa kazi zake kwa upendeleo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi. Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Nchemba ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 03, 2026 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri, kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mrembo aacha kazi apate muda wa kumnyonyesha mpenzi wake

    MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36. Mwanamke huyo, ambaye awali alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa baa, alidai kuwa aliamua kuacha kazi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Posho kwa Interns Serikalini: TTB & TANAPA

    Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  15. mwandende

    JamiiForums Tanzania TASAC na DMI kipengele cha cheti cha form 4 cha kazi gn kwenye kusoma ubaharia?

    Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa nini kimetokea sijuwi ni ugumu wa ajira au ni vipi, sasa kuna wimbi kubwa sn la vijana wanawake...
  16. generationn Z

    JamiiForums Tanzania KAZI BADO IPO TENA KUBWA KWELI KWELI

    1-Vijijini na hata mijini bado kuna watu hata hawajui kama nafasi ya makamu wa rais imefanyiwa mabadaliko 2-bora hata wazee na miranial wengi wao wanajua kuhusu hizi habari .....utafiti usio kuwa rasmi umeonyesha Gen z ndo kabisa hawajui kinachoondelea wao wanasema bora liende hao viongozi...
  17. H r n

    JamiiForums Tanzania My friend, Hao si rafiki zako—ni kazi tu ndiyo inayokuunganisha nao!

    Mambo vipi wakuu! Kazini unaweza kukutana na watu unaocheka nao, mnakunywa chai pamoja, mnaongea mambo ya maisha na hata kusaidiana kwenye changamoto. Lakini usisahau kwamba mazingira hayo yamewakutanisha kwa sababu ya kazi. Si kila anayekaa karibu na wewe kazini ni rafiki yako wa kweli...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

    Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine. Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala. Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako. Claude imetangaza maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika au kuboresha

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
Back
Top Bottom