kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kazi Zipo Kweli au CV Zetu Ndio Zinatembea Bila Kufika? 🤣

    Wenye Ajira na Wasiokuwa na Ajira: Je, Tunaelewana Kweli? Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayesema “maisha ni magumu” akiwa na mshahara unaoingia kila mwezi, na yule ambaye kila asubuhi anaamka bila kujua chakula cha siku hiyo kitatoka wapi. Wenye ajira nao wana changamoto zao, hilo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jussa kaamua kufungua Pandora box! Kazi imekwisha

    Yesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona. Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na shujaa wa Taifa lao. Msikilize Jussa utaelewa ya chini ya kapeti na nyuma ya pazia...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alijipangia tarehe ya kujiuzulu rasmi ambayo ni 04/09/2026 huo muda angefanya kazi na nani? Au hajui athari za tukio alilolifanya?

    Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣 Nadhani naye Bado hajui amefanya...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

    Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
  7. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Jamani! Nahitaji kazi amabayo ipo flexible ya kwenda na kurudi ili ni balance na studies. Any recommendations let me know sina skills za wasomi! Nipo dar
  8. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Jamani! Nahitaji kazi amabayo ipo flexible ya kwenda na kurudi ili ni balance na studies. Any recommendations let me know Nipo dar
  9. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi pasipokutoa notice

    Habari Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri. Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo...
  10. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mtu ameshasema anastaafu siasa sasa huo uanachama wa kazi gani? Kuachwa kunauma nyie acheni tu

    Kuna mambo yanafurahisa sana. Kuachwa kunauma hatari Mwamba alikuwa sawa kuleak ile barua hiyo jana vinginevyo leo wangemdhalilisha kwa kumfuta umakamu na kumtimua uanachama.
  12. Mr Matt

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye akili timamu hawezi kufanya kazi na genge la wafiraji,watekaji na mafisadi

    Wadau genge la Samia ni genge la wafiraji, watekaji na mafisadi, je wenye akili tuwaase wajitenge nalo?
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: WALIOSHINDWA KUFANYA KAZI NA RAIS SAMIA

  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Haya wale wazee wa kuokoteza okoteza wagombea wa kiti cha Urais kazi kwenu

    Fursa zinapotokea ni kuzichangamkia haya sasa tafuteni wagombea mapema ila kaeni mkijua kuwa.👇🏼👇🏼 CCM NDO TANZANIA YENYEWE CCM NDO MLEZI WA AMANI YA TAIFA LETU. CCM NDO CHAMA PEKEE KINACHOSTAHILI KURA CCM NDO CHAMA PEKEE ambacho return ya kura zetu tunaiona wazi wazi KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo cha Rosemary Koech: Je, mazingira ya kazi yanaweza kuathiri afya ya akili?

    Kifo cha Rosemary Chemutai Koech Kimwatu, aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Data katika KCB Bank Group, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili mahali pa kazi na namna shinikizo la maisha linavyoweza kumuathiri mfanyakazi. Rosemary, mwenye umri wa miaka 40 na mama wa watoto wanne, alifariki...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa DAWASA wa kuomba kuunganishiwa Maji ONLINE haufanyi kazi

    Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi sehemu tulipo tupo ndani ya mita 50 kutoka bomba kubwa hivyo tunatakiwa kuvuta maji yule mtu akakatiwa...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila, amesema tume hiyo imeanza kazi ikiwa na hadidu tano za rejea zitakazoongoza uchunguzi wake na kubainisha upana...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ukibaini mfanyakazi uliyemwajili anajisaidia haja kubwa ofisini mfukuze, Hana akili timamu

    Ukiona umeajili mfanyakazi anaamka saa kumi na mbili anaoga maji baridi , linanyoosha nguo, linabrashi viatu, anapiga mswaki, lakini anasaau kujisaidia haja kubwa anakuja kujisaidia ofisini jua ilo litumishi akili halina fukuzia mbali. Yaani ulilipe mshahara, saa nyingine ulipe ofa ya chakula...
  20. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

    Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
Back
Top Bottom