kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YEYOTE HALALI NIPO DAR

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, iwe dukani, kampuni au udalali

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Akwilapo aagiza Mtumishi kusimamishwa kazi na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kukiuka misingi ya utumishi

    WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA Dodoma Agosti 12, 2026 Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi niko Dar. Ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya

    Habari wakuu Naomba msaada wa taarifa za kazi/vibarua vya haraka jijini Dar es Salaam. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, na kwa sasa nipo Dar nikisubiri muda wa mafunzo kwa vitendo (Novemba). Nina uzoefu wa: Kuunda...
  5. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania Connection ya kazi ya Upagazi (Porter)

    Habari ya wakati huu!! Wakuu nimechapika na maisha vibaya sana, nimekaa nikawaza nikaona nitimkie Kilimanjaro nikafanye kazi ya Upangazi kule mlimani!! Kama Kuna mtu anafanya hii kazi, au ana mtu wake wa karibu anafanya hii kazi naomba kuunganishwa nao!! Nipo Nyanda za juu kusini, Nina Bachelors...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kazi yoyote nafanya

    Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

    Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (SALES)

    Nafasi za kazi kwa watu wa SALES wenye uzoefu wa miaka miwili Tunapatikana Dodoma, tuma Cv yako kwenye email hii: valerianabiseco176@gmail.com
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi kwa Wahasibu wenye uzoefu Dodoma

    Tunahitaji Accountants/wahasibu wenye uzoefu. Waombaji waliopo Dodoma watapewa kipaumbele, kwa kuwa ofisi zetu zipo Dodoma. 📩 Tuma CV yako kupitia: valerianabiseco176@gmail.com
  12. V

    JamiiForums Tanzania Naomba fursa ya kujitolea Shuleni, nimemaliza Biology na Geography Chuo

    Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu. Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi). Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  14. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kazi za security

    Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD. Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kazi moja nzuri ilimletea mteja mwingine… mteja mwingine akamletea mwingine. Hivi ndivyo Laurent alivyokuza biashara yake ya welding

    SIMULIZI YA LAURENT: KUTOKA KWA WELDER MDOGO HADI KUWA NA BIASHARA INAYOAMINIKA “Nilianza na mashine moja ya welding, lakini nilikuwa na kitu kimoja ambacho nilijua hakipaswi kukosekana—MPANGO.” Laurent alikuwa kijana aliyekuwa na ujuzi wa welding na fabrication, lakini kama wafanyabiashara...
  16. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  17. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Usiseme huna kazi PATA kazi hii hapa.

    Hacha KULALAMIKA njoo ufanye kazi na hao jamaaa!
  19. bless on

    JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
Back
Top Bottom