kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mtandaoni

    Habari wanaJF, Mimi ni mwalimu wa kike niko Kagera. Nina degree ya elimu kutoka UDOM mwaka 2014 ndio nilimaliza nikiwa na G.P.A ya 3.4. Nina uzoefu wa miaka 4 mpaka sasa nikiwa kazini. Mimi ni mtu ninayependa sana kujituma, kufanya kazi kwa bidii, ninauwezo mkubwa wa kutumia computer (MS word...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuliozusha, kufurahia, kushadadia na hadi kutaka kuchukua kazi ya ‘Israeli' tusaidiane kujibu haya maswali

    1. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) ni wazima? 2. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) tungetokewa na hiyo hali tungejisikiaje? 3. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) tuna uhakika wa 100% na Afya zetu? 4. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) huyo fulani angetokewa na mabaya hali yetu ya Kimaisha ingebadilika? 5. Je, Sisi ( Mimi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva (gari za familia)

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24. Naomba kazi ya udereva kwa mtu binafsi au familia. Nina uwezo wa kumuendesha mtu binafsi au familia kwa muda wowote ambao muajiri atahitaji. Leseni ya udereva ni daraja D (class D). Elimu kidato cha sita (form six). Nina nidhamu ya hali ya juu kabisa...
  4. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Zitto akiukosa ubunge 2020 atafanya kazi gani?

    Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia. Je baada ya kukosa ubunge...
  5. loyalty

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Reseller Program ya Amazon

    E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon, ambayo hurahisisha na kusaidia ufikishwaji wa mizigo mbalimbali kupitia mtandao. Kuanzisha biashara kama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa anisaidie

    Hello, habari zenu? Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!! Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi 3 za kazi katika kituo cha massage

    Kazi ni massage service. Sifa za waombaji 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi mikocheni,sinza,mbezi beach,kijotonyama,kawe atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo...
  8. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Edward Sokoine na Sheria ya Nguvu Kazi

    Habari zenu, Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni. Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
  9. defashi

    JamiiForums Tanzania Software development and graphics design services

    Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu: 1. Graphics design a. Logo Design b. Brochure Design c. Banner Design d. Flyer Design e. Products Brand Design f. Software Layout Design 2. Software Development a. Website Design and Development b. Blog Design...
  10. Alubati

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa nafasi za kazi mradi wa umeme Rufiji?

    Kama unafahamu namna watu wanaweza kupata kazi/ vibarua mradi wa bwawa la umeme mto rufiji kwenye hifadhi ya selous ,weka taarifa tafadhali wazee wa fursa waruke nayo.
  11. Abby The Rider

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa vijana

    Habar za Jumatatu Kuna fursa kwa vijana wenye moyo wa utafutaji na weny uwezo wa kujituma. Wanahitajika vijana kweny kampuni ya Zantel kwa ajili kufanya Mauzo Sifa Uwe na Smartphone inayofanya kazi vizuri Uwezo wa kuongea na wateja na nguvu ya ushawishi Vigezo Barua ya uthibitisho kutoka...
  12. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

    Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Jobs facilitators ni Organization inayowaunganisha waajiriwa kwa waajiri. Kwa yeyeto mwenye hitaji la kazi yoyote tafadhali tutumie ujumbe kupitia Email Address hapo chini... Jobsfacilitators@gmail.com Na kwa muajiri anaehitaji muajiriwa pia anaweza kuwasiliana na sisi.kupitia Email Address...
  14. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
  15. D

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI DAR.

    Habari... Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya utengenezaji na uuzaji juice ya miwa .. eneo kigamboni ferry .. awe msafi,mzoefu,muaminifu na mchapakazi. Mshahara mzuri .. malipo ya kila siku. Garama za chakula na usafiri atapata. Kwa muhitaji wa kazi hii aniPM au atume ujumbe kupitia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Uber, Taxify na Rova Dar es Salaam

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza. SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
  17. D

    JamiiForums Tanzania TAXIFY DODOMA

    Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma. Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi. Gari...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Sifa za waombaji, 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo. Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/= Chakula cha asubuhi na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania MTANGAZAJI WA BURUDANI/UCHAMBUZI

    Kidani Stars, Ni Televisheni Ya Mtandaoni (Online Tv) Inahitaji Kijana Mwenye Kipaji Cha Utangazaji Wa Habari Za Burudani (Entertainment) Na Uchambuzi Wa Habari Za Kila Siku (Current Affairs) Waishio Dar Es Salaam. WENYE SIFA ZIFUATAZO: UWEZO WA KUTANGAZA HABARI ZA BURUDANI NA KUFANYA MAHOJIANO...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Sales and marketing officer anahitajika

    Lablife tunajihusisha na uuzaji wa bidhaa za maabara/vitenganishi tiba (Lab supplies and Reagents) Tunatafuta mfanyakazi kwa ajili ya kuuza dukani pia na kufanya utambulisho wa bidhaa (marketing) katika vituo vya afya na Hospital. Sifa za muombaji za lazima -Awe mkaazi wa Morogoro Umri miaka 18...
Back
Top Bottom