kwa sasa kiwanda cha burudani kimechangamka na kimechangamshwa na uhasama wa Media houses mbalimbali za hapa nyumbani,
kila media sasa ina Tamasha lake, pia kuingiza mkono kwenye matamasha mengine kama Udhamini wa matamasha yanayoandaliwa na Makampuni makubwa ya simu, vinywaji baadhi yao hupewa...
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
GLOBAL TV ONLINE ni televisheni ya mtandaoni iliyo na makao makuu yake jijini DAR ES SALAAM, TANZANIA ikiwa na watazamaji dunia nzima zaidi ya milioni ishirini kwa wiki na watazamaji waliojisajili zaidiya milioni moja na laki nane. Kama sehemu ya mafanikio yake Global Tv Online inatafuta mbobezi...
Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
Habari, anahitajika kijana mjuzi wa kukaanga vitu kama kuku, samaki, pweza na vitu vinginezo maeneo ya Tabata Maji Chumvi. Awe mwenyeji na mkazi wa Dar es Salaam maeneo ya Tabata au Ubungo External.
Asanteni. Kwa maelezo zaidi piga namba 0754 524 486.
Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli.
Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism.
Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa miaka mitano(5), Hii nafasi niliitendea haki nilifanya kwa ustadi mkubwa bonasi za wiki nilipata sana...
Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?
Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa.
Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
Habari za wakati huu wakuu,
Pamoja taarifa ya serikali kuwa uhamisho kwa watumishi wa serikali, Lakini Kuna here says kuwa uhamisho wa KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI unaruhusiwa. Mimi Ni Mwalimu na nimepata mtu wa kubadilishana nae. Kwa wale waliopitia haya maswala tupeane uzoefu nianzie wapi na...
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.
Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.
Mjapani ameniuliza kama...
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.
Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.
Mjapani ameniuliza kama...
Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa.
Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet.
Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni...
UPDATE:
Fuatilia LIVE coverage hapa:
Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila
==========
Heshima kwenu wakuu,
Heshima kwenu wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
Nafasi za kazi zilizo toka:
Vacancies (17) CONSERVATION ASSISTANT II - ACCOUNTS TANZANIA NATIONAL PARKS
Experience: Fresher Can Apply
No. of Position: 2
Qualification Required: Diploma in Accountancy
Job Opening date: 18-Oct-2019
Job closing date: 30-Oct-2019
Responsibility:
•...
Muogope baba asiesafiri asietoka kujichanganya na wenzake anajifungia tu ndani na kukaa jikoni na mama kuota Moto baba huyo lazima awe mkali na katili kwa watoto
Baba unatakiwa usikae sana home familia inakukinahi inakuchoka haiwi na hamu na wewe Sasa wewe utadhani haikupendi kumbe ni...
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 20, nimemaliza form six mwaka huu natafuta kazi yoyote nipo Tabora town.
Mawasiliano piga au tuma text 0765 576 786.
Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka Chuo cha Ualimu Klerruu-Iringa.
Pia nina ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha.
Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anayetamani nifanye nae kazi ili...
CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo.
Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.