kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Qatar Airways

    Position: QR22737 - Airport Services Duty Officer Organisation:Qatar Airways Job Function:Ground Services Division:Kilimanjaro - JRO Employment Type:Full Time - Permanent City: Africa | Tanzania | Kilimanjaro Last date of application:27-Feb-2020 Qatar Airways Welcome to a world where ambitions...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinafichwa bunge letu kutoonyeshwa live? Kama ni muda wa kazi, basi Tv zote ziwe hewani kuanzia saa 9:30 alasiri

    Ninaenda kwenye uchaguzi Mkuu 2020 bila kujua mchango wa Mbunge wangu bungeni. Bunge live lilisaidia wengi kutathmini japo sio kwa asilimia zote uimara wa Wabunge wetu kifikra. Awali, aliyekuwa Waziri wa Habari alitoa tamko kuwa Bunge Live muda wa kazi linafanya watu waache kufanya kazi za...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, SME Relationship Officers (8), Access Bank February

    SME Relationship Officers (8 posts) AccessBank Tanzania (ABT) is a commercial bank with a special focus on microfinance. With very strong international shareholders such as AccessHolding, International Finance Corporation (World Bank), KfW, African Development Bank and MicroVest. ABT’s vision is...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Ebenezer Television

    Ebenezer Television ni kituo kipya cha habari ambacho kinatarajia kuanza kurusha matangazo yake kutokea Mikocheni Dar es Salaam. Kituo kinahitaji wafanyakazi katika Nyanja zifauatazo; A. NAFASI ZA AJIRA 1. Mhariri Mkuu – Nafasi moja (1) Awe na Shahada ya Uandishi wa Habari au Mawasiliano...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi weka salary mezani Tuione

    Verses hizi hapa niwekee vocal na biti unitumie PM.Ukiwa na vese za kuongezea weka hapa......Master Jay, Majani. Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki. Kama unafanya kazi Weka salary mezani Tuoneee sasa Tuoneee ...tuone. (mara mbili) Waweza weka cash,weka kreti, Weka Fresh.weka tuonee,tuonee Wengine...
  6. Gregy5

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu

    Habari zenu ndugu zangu! Mimi ni kijana (ME) mwenye umri wa miaka 23, naishi Dar es salaam, Elimu yangu-Shahada ya usimamizi wa rasilimali watu ( Bachelor degree in Human resource management). Natafuta kazi itakayo nipatia kipato cha halali, kazi ambazo ninaweza kuzifanya ni kama ifuatavyo...
  7. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Spiritualy, labda ni kweli hii kitu inatenda kazi kwa Rc wetu

    Watumishi wa Mungu aliye hai huwa wana msemo wanautumia hasa wakiudhiwa "Usicheze na masihi wa BWANA" Nakumbuka kuna bifu kali kati ya RC mpendwa na masihi wa BWANA. Ila nakumbuka masihi wa Bwana alitoa maneno makali Sana kibiblia yanaitwa LAANA. Najaribu kuwaza tu,kwamba it was a matter of...
  8. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza gesi Oryx yapanda bei kutokana na mabadiliko soko la dunia kuanzia Feb 5

    Taarifs kwa watumiaji wa gesi, Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi Beo wanazotakiwa kuuza n Kg 15 54'000 Kg 6. 22'000 KG 38. 105" 000 Kumbuka hii ni bei elekezi tu muuzaji anaweza kupanda zaidi ya hapa Ahsanteni kwa uvumilivu wenu...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi KKKT : Dayosisi ya Mashariki na Pwani

    1. Position: Mkuu wa Shule ELCT- ECD Job Summary SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MKUZA inatafuta MKUU WA SHULE haraka! SIFA ZA MWOMBAJI: Awe na Shahada ya kwanza ya Elimu au Shahada ya uzamili ya Elimu Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika nafasi ya Mkuu wa Shule/Makamu Mkuu wa...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hospitali iliyojengwa haraka zaidi, yaanza kazi

    Jengo la hospitali kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa corona katika jimbo la wuhan nchini China limekamirika ndani ya siku 10 na limeanza kupokea wagonjwa. Angalia hapa 👇
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Buckreef Gold Company Ltd

    Company: Buckreef Gold Company Ltd Location: Tanzania State: Geita Job type: Full-Time Background Buckreef gold company ltd is a joint venture company between state mining corporation (stamico) and tanzam2000 ltd, a subsidiary of tanzanian gold corporation is seeking to employe “suitable...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TABORA, Milambo Co-Operative Union Limited (Milambo CU Ltd)

    MILAMBO CU (2018) LTD - REG. NO. 5604 Milambo Co - operative Union Limited (Milambo CU Ltd) is vested with the duties of providing high quality services to all tobacco farmers within the two District Councils (Urambo and Kaliua), now is wishing to recruit highly motivated and dynamic staffs to...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Chief Executive Officer, TAFFA

    Company: TAFFA Location: Tanzania State: Dar Es Salaam Jobs Job type: Full-Time Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania Job Description for the position of Chief Executive Officer Main Purpose of the Job The position entails the overall management and administration of the...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya kufundisha Braeburn International School

    Background Braeburn International School Arusha is a co-educational day and boarding school catering for both the international and Tanzanian community. Accredited by the Council of International Schools, we have earned a reputation for high academic standards, a rich extra-curricular programme...
  15. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
  16. Mwinjilist mtume nabii

    JamiiForums Tanzania Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

    Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuuza vipodozi kwa mdada

    Hi to you all. Kuna mtu anatafuta dada wa kazi ya kuuza duka la cosmetics. Umri 20 to 30 awe anaishi Tanga. Ambaye yuko interested ani PM Mawasiliano yake for more details. Asanteni.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Mathematics natafuta kazi, 0738 853 634

    Napatikana songea
  19. C

    JamiiForums Tanzania Nina kazi kubwa ya ofisini ya 'ku type' lakini nimeona nipige picha then na convert kwenda PDF then kwenda Word then

    .....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha. Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na words nilizopiga picha Wajuvi naombeni muongozo wenu. cc: ma chief wote wa jukwaa la tech.
  20. Parabora

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Kwa wale wote mlioomba kazi katika shirika la msalaba mwekundu huu ndo uwanja wenu wa kupeana taarifa zozote zinahusu shirika hili,na kwa wale ambao hawajaomba niwakumbushe tu leo ndio mwisho.nataka nione ufanisi wa saili kwa mashirika ya huko nyumbani Haijalishi umeomba kitengo gani, Tupeane...
Back
Top Bottom