Rais Paul Kagame wa Rwanda amfuta kazi Waziri wa Afya wa nchi hiyo Dkt Gashumba kwa madai kwamba Waziri huyo alimdanganya juu ya uwepo wa vifaa tiba kwa ajili ya kupima virusi vya Corona, Covid-19.
Akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa viongozi kujitathimini, Rais Paul Kagame alisema...
Kuanzia kazi kijijini kunaweza kuwa nafasi bingo ya maisha, vijana wengi hawapendi kuanzia kazi vijinini. Hii ni kutokana na miundo mbinu kuwa mibovu zaidi huko vijijini
Fikiria unaanza kazi kama tabibu, nesi, mwalimu, bwana kilimo kijijini. Unakuta kuna nyumba yenye maji na umeme, japo...
Chuo Kikuu cha Ghana kimesimamisha wahadhiri wawili, Profesa Ransford Gyampo na Dk Paul Kwame Butakor, kwa vipindi tofauti bila mshahara
Video iliyochukuliwa na waandishi ilionyesha udhalilishaji wa kijinsia wa wahadhiri hao katika taasisi kubwa huko Afrika Magharibi. Wote walikana madai hayo...
Come.to think of it.
Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa.
Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao...
Afisa Tarafa ya Moshi Magharibi Bwana Senzia Lushino mwishoni mwa wiki hii ametembelea Shule ya Sekondari Korongoni iliyoko manispaa ya Moshi Mjini katika kata ya Soweto na kukuta Mwalimu mtoro sugu bwana Honest Shirima hayupo.
Mwalimu huyo anatumia muda mwingi kuendesha Bajaj mjini moshi muda...
Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa sana kuliko viumbe wengine wengi Duniani.
Binadamu leo anaweza kuumba ayatakayo ikiwa tu atauelewa ilimwengu wa ndani unavyofanya kazi yake. Kwanza kabisa tunapaswa kujua hakuna kitu chochote alichokiumba mwanadamu ambacho hakijaanzia ndani yake.
Leo...
JOB TITLE: MARKETING OFFICER II - 1 POST
JOB CATEGORY(S): MARKETING,MEDIA AND BRAND
EMPLOYER: Open University of Tanzania - OUT
APPLICATION DEADLINE: February 24, 2020
VIEW & APPLY
JOB ANNOUNCEMENT
Management and Development for Health (MDH) is a non-profit, non-governmental organization whose primary aim is to contribute to addressing public health priorities. All job positions below require significant field work. MDH seeks to recruit qualified individuals to fill the...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.EA.7/96/01/K/154
11th February 2020
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.
Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji.
Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya...
Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini
1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
Suala la Usalama na Afya mahali pa kazi ni muhimu kuangaliwa kwa makini tunakoelekea kwenye uchumi wa kati unaoongozwa na viwanda ili kuokoa maisha ya wengi.
Shirika la kazi Duniani (ILO) limeonesha kuwa kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha na ndani ya saa 24 wafanyakazi 5760...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam
Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa.
Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua...
Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge.
Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu.
Mh...
TPB Bank PLC is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products.
TPB Bank PLC is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient...
The Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA) is a legally established entity responsible for the overall operations and management of water supply and sanitation services in Arusha City. It is among of the best Authorities in Tanzania.
The core function of the Authority is to...
Awamu iliyopita
Mainjinia 30 wanahitajika Tanesco.
Majina ya waalimu yanatoka lini?
Wanaotaka tubadilishane mikoa tukutane hapa (baada ya kupangiwa ajira).
Jamani nimechoka na hii kazi natamani nibadili licha ya mshahara mnono kwa sababu ya majungu.
Umebadilisha kazi mara ngapi hadi sasa?
Ni...
Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
Kwa wale wanaopenda kufanya kazi kwenye mashirika ya ndege, hapa kuna nafasi mpya moja ya kazi Precision Air. Maelezo yote soma kwenye PRECISION AIR VACANCIES
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.