kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je kufutwa kazi kwa Mkuu wa Boeing ndio suluhu ya matatizo ya 737?

    Je kufutwa kazi kwa Mkuu wa Boeing ndio suluhu ya matatizo ya 737? Boeing imemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa kampuni hiyo, Dennis Muilenburg, katika hatua ya kurejesha imani ya kampuni hiyo baada ya ajali mbili mbaya zilizohusisha ndege yake ya 737 Max. Zaidi ya watu 340 walikufa...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu kabla ya kuondoka naye Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Harrier. Taarifa za awali kuhusu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Joketi ndio kiongozi anayefanya kazi vizuri kuliko Wakuu wa Wilaya wote hapa Tanzania, afungua choo

    Waziri wa TAMISEMI Mh. Jaffo amesema hatashangaa endapo mkuu wa wilaya ya Kisarawe mh Joketi atapandishwa cheo kwa sababu ndiye DC anayeongoza kwa kuchapa kazi kuliko wakuu wa wilaya wote Tanzania. Mh Jaffo amesema ameamua kuyasema hayo kwa sababu yeye siyo mnafiki kwani wanafiki wana tabia ya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Finance, Procurement & Admin Officer

    Habari, Tuna kazi ya Finance, Admin and Procurement Officer kwenye kampuni mpya ya distribution. Kama una interest naomba unitumie CV yako na Certificates kwenye email andrew@erncon.co.tz Educational Qualifications University degree in Finance /Accounting Diploma in accounting (CPA /CMA or...
  5. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Kazi za muda mfupi za kompyuta

    Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni raia wa kawaida hapa kisarawe kwa Sasa naomba msaada wa kusoma kozi za muda mfupi kwa jiji la Dar es salaam,hivyo kama kuna mdau yeyote anayefahamu eneo wanalofundisha hizo kozi za muda mfupi aje hapa jukwaani anisaidie,iwe miezi mitatu, miezi sita...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies. Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Finance Officer Danish Refugee Council (DRC)

    Responsibilities: Cash Management • Ensure weekly cash forecast/requirements are compiled for all DRC field offices • Ensure that Nyarugusu Program has sufficient cash flow for implementation by Requesting Funding from to HQ on time • Check and record the bank balance on Weekly basis • Follow...
  8. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba watu hawataki kufanyakazi. Serikali tengenezeni mazingira ya kazi zenye tija

    Tuna vijana wengi wamemaliza darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha tano, chuo, n.k. wana moto na hali ya kufanyakazi lakini kazi za kufanya za kujenga jamii au taifa huku wakijipatia kipato ziko wapi? Kisayansi: kazi (Work) = Force (kani) X Distance ( Umbali). Ikiwa na maana ukiburuza...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Head of People and Culture at VisionFund

    Purpose of Position: To Manage & coordinate human resources strategy for VisionFund, Tanzania (VFT) – Microfinance Business (MFB) including manpower planning, recruitment & selection, orientation, placement, performance management, compensation package, staff development and talent management...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kuwashawishi ili tuwatumie katika kuitangaza nchi yetu kwa gharama nafuu??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli utaendelea kuiona kazi ya Urais kuwa ngumu, kwa kuwa huruhusu nchi iwe na taasisi imara

    Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
  13. scatter

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa tuliowahi na tunaofanya kazi kwa Wahindi tupeane changamoto za mabosi zetu

    Binafsi nimeshawahi kufanya kazi kwa Muhindi kama Bosi wangu. Kipindi naanza kazi nilikutana na ahadi kibao na mambo mazuri mazuri tuliahidiwa kama kazi ikiwa nzuri marupurupu yataongezeka. Pigo la kwanza niliomba mkataba bahati mbaya nilipigwa chenga 😀 palikuwa na sijui sijui nyingi...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Finance Director T-MARC

    T-MARC Tanzania is a non-profit Tanzanian organization working to improve public health and promote social development. Our socially marketed products and behavior change communication initiatives address pertinent health issues in family planning and reproductive health, child survival, water...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Wanabodi, Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu. Angalizo kuhusu paraphrasing. Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi . Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dar Lux Arusha ni kweli basi zilizopo mpaka Jumatatu ni za 40,000? Hamko serious na kazi

    Jana saa mbili usiku nilifika ofisi za Dar Lux kujua tiketi za kupeleka watu Dar leo na kesho. Mdada mmoja bila aibu akasisitiza basi zilizopo ni za 40,000 eti luxury tu.. Aisee nikachoka kabisa nikiwaza yale mabehewa yetu shida tu yako mbali from Arusha Mamanager husika tuambieni ni kweli...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

    Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5. Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo...
  18. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anatafuta kazi, amesoma Shahada ya Culture Tourism and Heritage

    Ndugu zangu kwa mwenye msaada wa hilo jamani. Nina ndugu yangu kamaliza hiyo shahada na kuna baadhi ya field na sehemu zingine za kazi alishafanya zihisuzo utalii, anatafuta kazi. Msaada jamani
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Tabora ndugu Erick Komanya Kitwala hana maelewano na mtumishi yeyote ndani ya wilaya anayoiongoza

    Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo. 1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida. 2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa...
  20. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

    Ni simple tu: Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo? Cc Zero iq Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom