kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

    Kampuni ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasioasilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu katika maeneo mbalimbali ya miili yao kama sura na muonekano, kuonyesha hisia, tabia na akili na pia wana uwezo wa kuzungumza na kubadilishana nae...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi wa NIDA kukutana naye kwenye ofisi za NIDA Lindi tarehe 11 January, huku akiwa na maelezo ya kutosha kuhusiana na ucheleweshaji wa vitambulisho ili asifutwe kazi. Chanzo: Watetezi TV
  3. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Shahada ya pili ya Takwimu

    Habari wana jamvi. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya pili katika Takwimu, natafuta kazi sehemu yoyote Tanzania.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

    Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii. Wote mnakaribishwa
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Finland: Waziri Mkuu Sanna Marin apendekeza siku nne za kufanya kazi

    Waziri Mkuu mpya wa Finland Sanna Marin amependekeza nchi hiyo iwe na siku nne tu za kufanya kazi ili wananchi wawe na fursa kuwa na familia zao kwa muda mrefu zaidi na kufanya mambo mengine ya jamii ikiwemo michezo na utamaduni. Marin, akiwa kiongozi mkuu wa serikali mdogo kuliko wote duniani...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Utangulizi Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Athumani Kazi, jitathmini katika uchambuzi wako wa soka

    Nimeshangaa sana anadai penati ya Simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penati. Kama una unazi achana na unazi binafsi, nakukuheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/ makosa ya huyo mama Jenesia, acha kabisa...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kazi Mbeya Mjini. Mbunge wake aanza kumimina semina elekezi ngazi zote kwenye kata zote

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya Mjini kimeanza amsha amsha kwa kumwaga semina elekezi kwa viongozi wa Kata zote , Vijiji na vitongoji kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji . Ikumbukwe kwamba siasa za kishirikina za kutembea mitaani na majeneza kama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, kipi bora kati ya kufanya kazi kwenye kampuni inayoanza (mpya) au yenye muda kidogo?

    Wakuu ushauri wenu muhimu. Kuna jamaa kamaliza shahada ya uhandisi. Kwa bahati nzuri kapata kazi kakita kampuni mbili, kampuni ya kwanza ameahidiwa mshahara wa million moja na laki mbili baada ya makato yote, kampuni nyingine nimpya ndio inaanza inamwaka mmoja, ameambiwa na wamiliki wa kampuni...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA BIOS NA CHEMISTRY SHULE ZA BINAFSI ZINAZOLIPA VIZURI

    Wanabodi mimi ni mwalim wa masomo ya Biology na Chemistry!nimeajiriwa na serekali takribani miaka saba imepita!!Nataka nifundishe shule za private zenye mshahara mnono!!!Nina shahada ya sayansi katika elimu kutoka UDSM-DUCE!
  11. Gfive_5

    JamiiForums Tanzania Natafuta Dada wa kazi za ndani

    Natafuta Dada wa kazi za ndani Nipo Shinyanga Mjini. Mawasiliano: 0622512225 au 0762692538
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Waethiopia wapelekwa nchini Saudia kufanya kazi za majumbani

    Katika kuwalinda raia wake Ethiopia imeingia mikataba maalumu na mataifa ya kiarabu kurasimisha kazi za majumbani kwa raia hao Katika kuzuia uhamiaji haramu Ethiopia imetuma maelfu ya wafanyakazi wa majumbani waliopewa mafunzo nchini Saudia. Taarifa aliyoitoa balozi wa Ethiopia mjini Riyadh...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye kampuni za kubet,stationary,duka lolote,hotel nk.

    Habari, Mimi ni kijana umri24 natafuta kazi yoyote Hususani katika makampuni,viwanda,majumbani, madukani,mashambani NB: sihitaji mshahara mkubwa Nichek PM Nina ujuzi computer application na ufundi umeme.
  14. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ndio Habari ya mjini, Mengine Mbwembwe tu

    Maisha ni tight kwa hio hapa ni mwendo wa KAZI na BATA tu mengine Mbwembe tu 2020 Twende na KAZI na BATA tuachane na mbwembwe
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa watumishi wa umma wanajifanya kuacha kazi kwa kasi kubwa kutokana na hofu serikali izuie /isamamishe malipo yao yanachelewa ili wasiache kazi

    Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali. Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Temesa yakanusha kuhusu magugumaji kuzuia vivuko kufanya kazi Mwanza

    TEMESA inapenda kukanusha uvumi unaoenea mitandaoni kupitia video pamoja na picha zikielezea kusimama kwa huduma za vivuko katika kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza kutokana na kuwepo kwa magugu maji. Tukio la magugu maji lilitokea siku ya tarehe 24 Desemba 2019 na magugu maji hayo...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kama unaishi Wilaya ya Mbogwe katika Mkoa wa Geita na upo "serious"kufanya kazi ya Biowaste composition kwa kutumia Blacksoldier fly larvae karibu

    Ninahitaji vijana wachache ndani ya Wilaya ya Mbogwe kwa ajili ya kuanzisha nao miradi wa kuozesha taka za sokoni kuwa mbolea nzuri ya shambani kwa muda mfupi kwa kutumia njia ya kibaiolojia ya kutumia nzi aina ya "Blacksoldier fly " BSF. Nimeshafanya piloting juu ya namna ya kuwapata hawa nzi...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Urusi awafukuza kazi Majenerali 5

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali. Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za serikali, Majenerali 5 waliokuwa wakitumika katika sehemu mbalimbli nchini humo kama vile wizara ya mambo...
  19. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

    Kichwa kinajieleza. Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti. - Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada - Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

    Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
Back
Top Bottom