kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  2. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  3. C

    JamiiForums Tanzania DC Kibaha umeichoka kazi yako?

    Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

    Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi. Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano? Kazi iendelee. Kazi ipi zaidi ya uchawa?

    Tangu mtukufu mama aingie kwenye ulaji salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi Iendelee imekuwa ikitumika. Je ni wangapi wanajua maana na mantiki yake? Kazi gani inayoendelea ambayo haiboreshi maisha ya watanzania? Kunaweza kuwako kazi na ya kuendelea katika uchawa huu kwa sasa? Je Kazi...
  6. mwakyambikig

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi sales Experienced officer

    Kama unao uzoefu wa kazi za sales kwa miaka mitatu, Diploma/ degree marketing nichek cv yako hybridprojectmanagement@gmail.com
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya walimu ni nini?

    Navojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!! Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi afanyaje...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Update: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele T2025 CCM

    *Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. * Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" . Kauli mbiu hii inasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii huku...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Madalali kwenye ajira

    Ivi ni kwanini kazi sikuhizi wanapewa madalali?.Watu kabsa wameanzisha hadi makampini watu m-subscribe ili kupata kazi, kwanini yani ili upate kazi mpaka utoe hela. Eti kazi hii ili kupata Ada yake ni 30000 .WHY? Jamii Forum fikisheni hii sehemu husika ishakuwa kero.
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Hello members tangazo limeisha muda .. Na wahusika wameshapatikana
  14. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  16. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Vijana waliomaliza VETA na hawana kazi serikali inawasaidiaje

    Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu...
  17. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

    Kampuni ya ulinzi ya GARDWORLD inapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kazi. Kwa maelezo zaidi angalia attachment hapo chini.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bank na law firm wapi pazuri kufanya kazi

    Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth... NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
  19. A

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA AGENT AMBAE YUPO DAR TUFANYE KAZI

    Mambo vp wana ndugu natafuta agent ambae yupo dar kuna gari yangu naitaji aje kunitolea
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
Back
Top Bottom