Majaribu ndio hayo wakuu,
Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo.
alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom)
Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika.
Zijenge miundombinu.
Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi.
Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao.
Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa...
Salaam!
Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa.
Vitendea kazi vyenyewe ni hivi:
1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja...
Hello JF family,
Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja.
Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana.
Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
Habarini Wakuu,
Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi.
Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea.
Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.
Habarini,
Sijui kama kuna wengine mmeliona hili, kwenye mazingira ya kazini, kuna vitu nimevi-observe mwanaume ukifanya kazi na wadada
1) Kutumwa kazi ambazo ni unreasonable: Imagine mtu anakwambia hawezi beba dumu dogo la maji na mwanaume uko hapo, yani mtu anakwambia hawezi beba dumu la...
Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasilisha pendekezo hilo kwenye baraza la mawaziri kwa madai kuwa Bar amekuwa akiendesha mambo...
Nadhani Sisi sote tupo salama wakuu, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Mnamo tarehe 18.03.2025 majira ya Saa nne usiku wakati narudi Kutoka mihangaikoni nikashuka kituoni kwangu Kibaha picha ya ndege.
Kutoka picha ya ndege mpaka ninapokaa Pana umbali kidogo kwa hiyo kwa...
Salaam kwa wanajamvi wote!
Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii.
1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo
2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili.
3) Kukufanyia...
Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza.
Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
Waziri wa Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amesema serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza, mkoani Pwani, ambao walikuwa kwenye zamu kwa kosa la kadhia iliyojitokeza hivi karibuni ikihusisha gari ya mizigo pamoja na mama mmoja aliyejitambulisha kwa...
Wadau poleni na majukumu
Mimi ninahoja kama 3 naomba tujadili kidogo.Hivi wadau kwa aliyewai kufanya kazi akapa mshahara mnono na package nono alifanyaje ilikuwa ni bahati au connection nauliza hivyo sababu mimi sijawai kupata hiyo bahati ila kazi uwa napata hilo namshukuru Mungu kingine hivi...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.
Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana.
Lakini pia...
Wakuu,
Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down?
Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.