kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 47 anaishi kwa Wazazi wake, kazi hana na anataka kuja kwetu kujitambulisha

    Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaelezea. Huyu BABA ana miaka 47, amenipita 12 years, niliwahi kutoka naye kimapenzi nikiwa chuo, Ila nikampiga chini baada ya kuona hana vision na hajui kusudi la yeye kuwepo duniani. Baada ya miaka mingi ya kuto onana, kwa kuwa Mimi niko Dodoma ninakoishi na...
  2. Muchaa

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Sales & office admin

    Anahitajika kijana mkazi wa Babati Qualification.. 1. Degree/Diploma in business or any related field 2. Awe mkazi wa Babati 3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa Manyara..... Mawasiliano piga 0687222251
  3. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi, mshahara Laki 1 na 80. DSM

    Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu hadi unafika hatua ya kujiuza/ukahaba/umalaya au u barmaid ni kwamba umekoswa kabisa kazi ya kufanya?

    Hi 👋 Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha. Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo. Swali langu ni hili hapa duniani kote kuna kazi kibao halali na nzuri kabisa za kufanya bila kificho,hofu wala woga wowote na...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kazi waaminifu wanapatikanaje? (nina shida nao)

    Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi. Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

    Wakuu, mnaendeleaje humu? Naamini Mungu anaendelea kuwapigania. Kuhusiana na mada tajwa hapo juu, natafuta kazi katika sekta ya IT. Nina ujuzi katika Linux Server Administration, Database Administration, Computer Networking, na misingi ya Usalama wa Mfumo (System Security Basics). Ikiwa kuna...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana nimegundua haya

    Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana. Nimejifunza Jinsi wanavyofanya kazi, Jinsi wanavyotafuta Clients Wanavotangaza huduma zao wanavyowasilisha offer zao. Meetings zao nyingi sana Wanavyofanya project management wakiwa na team na hawajuani. Wanafanya hivi 👇👇 1. Cold...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  12. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  13. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mama wa madege-vita yote b-2 kwa sasa wako diego-garcia tayari kwa kazi maalum huko mashariki ya kati

    Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndege-vita b-1 lancer strategic bomber ikielekea mashariki ya kati tayari kwa kazi maalum!!

    B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naamini watu kama godlove na huyu mdada aliepata kesi ya utapeli ni watu wa waina ya "project maalum" inayoandaliwa na watu kwa ajili ya kazi maalum

    Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU. alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake, scandal, etc Watu hawa wanachukuliwa kwa ajili ya kutimiza matakwa fulani mfano kuzubaisha watu dhidi...
  17. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
Back
Top Bottom