kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Elimu yangu ni degree ya project planning

    Nipo kahama ni binti wa miaka 27 ,Elimu yangu ni degree ya project planning lakini nikipata kazi yoyote halali nitaweza kufanya nashukuru.
  2. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kazi ni wito na ibada, Tuitendee heshima Inayostahili

    Ndugu zangu wapendwa!. 👉🏾Kuna jambo moja ambalo hatufai kulisahau ,kazi ni ibada. Kwa kila jasho tunalomwaga kwa ajili ya riziki halali ni sadaka mbele za Mungu. Ni njia ya kuonesha shukrani, heshima na thamani ya maisha yenye maana. Lakini swali kubwa ni hili, je, kweli tunaitendea kazi...
  3. Tembele

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Kiwandani.

    Kiwanda cha kuchakata plastiki kilichopo tegata - Daressalaam, Kinatafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi za kiwandani, Kazi hizo zinahusisha , kuchambua plastiki, Kuosha plastiki, Kusaga plastiki na Kuengeneza bidhaa mbali mbali kwa kutumia plastiki, vijana wawe na sifa zifuatazo. 1. Awe...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kamati ya wazee ishamaliza kazi hapa Kwamsisi, Simba anaua kuanzia goli 4, hamtoamini macho yenu

    Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu. Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki nyumbani Baraka Mpenja atakusimulia namna goli 4 kwenda juu zilivyopatikana. Narudia tena, goli ni 4...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  6. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

    Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu) Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical Technician natafuta kazi

    Habari wakubwa... Kijana wenu machachali mwenye uchu wa mafanikio ninakuja mbele zenu naomba msaada wa kazi ya taaluma yangu. Mimi ni pharm technician mwenye leseni hai na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) kwenye famasi jamii na famasi za hospital pia. Nina ujuzi mzuri tu wa kutumika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
  9. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

    Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika? Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba. Usafiri upo daladala 2500 ila kuna...
  10. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habarini za asubuhi wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni degree, naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote...
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado Trump yupo nao wachina jino kwa jino safari hii kazi wanayo

    Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru. Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest rates. kwa kipindi cha karibuni Trump amekuwa akihishutumu Fed chini ya mwenyekiti Jerome Powell...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi

    Habari Wana JF natumaini muwazima Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
  14. M

    JamiiForums Tanzania Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  15. prync

    JamiiForums Tanzania Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia usajili namba zingine zilizosajiliwa kwa NIDA taarifa zinazokuja si za kweli, HALOTEL wafanyie kazi jambo hili kabla halijaleta mtafaruku

    Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
  19. Youngstunna

    JamiiForums Tanzania Unatafuta kazi ??

    Tunakusadia kufanya maombi ya kazi Huduma zetu 👉 kukuandalia Cv yenye muonekano wa kitaifa na kimataifa. 👉 Kukujulisha taarfa mbali mbali za nafasi za kazi kulingana na taaluma yako. 👉 Kufanya maombi ya kazi kwa niaba yako sehemu mbalimbali ndani ya mwaka mzima. 👉Kukujulisha...
  20. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
Back
Top Bottom