Marejea visiwa vilivyoko ziwa Victoria zaidi sababu huko ndiko nilikokuwa enzi hizo.
Sijajua kwa Sasa kukoje sababu mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 18 tangu nitoke.
1.Kuuza pombe kali na gongo kwa wavuvi
2.Kuuza madawa ya binafamu na kutoa tiiba kama vile kushona walevi waliopasuana sehemu za...
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.
Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni
1.Ulinzi
2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar
3. kazi zote za nguvu hata viwandani
4. kazi za hotelini
Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
JF inaenda viwango vingine vya kimataifa zaidi.. Tunajiribu kupanua wigo wa mijadala na kazi za ubunifu za maonesho mbali mbali za wabunifu kwenye nyanja zote ambao ni maarufu duniani
Kwa kushirikisha kazi zao kwenye mitandao yetu kunatupa nasi nafasi ya kuzitambua na kuzienzi kazi zao adhimu...
"Tunapokufa, pesa zetu zinasalia benki... Lakini tunapoishi, hatumiliki pesa za kutosha kwa matumizi. Kwa kweli, tunapotoka, bado kuna pesa nyingi ambazo hazijatumika.
Mfanyabiashara mkubwa wa China alikufa. Mke wake, akiwa amebakiwa na dola bilioni 1.9 benki, alioa dereva wake. Dereva alisema...
Habari wadau.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.
Dah! MUNGU saidia akafuzu.
Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.
Kupitia jua hili bandia...
Habari zenu natafuta kazi maeneo ya Arusha nina degree ya Umeme, mwenye connection ya kazi za viwandani, kampuni, dukani, supermarket, sheli naomba anisaidie. Natoa shukran kwa wote
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search)
Habari wanajamii,
Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi,
Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi...
Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA...
Kutoka kwenye barabara nyembamba, tanuri za kufinyanga udongo, na karakana zenye kelele za Fustat, Ibrahim Said alizaliwa mwaka wa 1976.
Fustat ni eneo la Cairo, Misri ambalo limejikita katika historia ya tasnia ya ufinyanzi tangu ushindi wa Kiislamu. Ibrahim anatoka katika familia ya...
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.