kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upishi mgahawani

    Habari natafuta mpishi wa Kupika bites na Chakula cha mgahawani Malipo ni kwa siku 15,000. Namba sa Simu za mawasiliano ni 0754604976 au 0718044976
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nimemaliza degree ya accounting

    Helloo Tanzania naitwa Jenipha nimemaliza degree ya accounting chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi Asanteni 0713776534
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumsaidie kazi Mheshimiwa Dorothy Gwajima

    Ila hii nchi inamambo mengi sana aisee, kila siku tunaharibu kizazi chetu tena kwa mikono yetu. Vijana wengi wanafanya mambo ya ajabu na tunatazama tu bila kusemea wala kukemea huku tukisubiri yatokee madhara tuanze kulaumu vyombo vya usalama na mamlaka zingine. Ijumaa nilitoka kazini mapema...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kazi za wakandarasi wa mchongo

    Hawa ni wengi sana Africa ila kwakuwa kuna kula kwa urefu wa kamba mara nyingi kesi zao huishia gizani Wanasema money talk.. Pesa hupofusha.. Pesa hutia uziwi.. Pesa hupindisha haki . PESA HUDHULUMU HAKI YA KUISHI
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kazi za barabarani roho mkononi

    Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65% Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50% Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa. Sio KAZI...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rasmi Klabu Ya National Al Ahly Imefuta Kazi Kocha Wake Marcel Kohler

  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  9. Sonship

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI DUBAI

    DUBAI GREEN HOUSE WORKERS/ PACKERS: 50 📌UJUE ENGLISH 📌UMRI: 25 - 50 📌UWE NA PASSPORT AFYA NJEMA 📌USIWE NA HATIA YEYOTE POLICE MWAJIRI ANAGHARAMIA: ✅MALAZI ✅CHAKULA ✅BIMA YA AFYA ✅ KIBALI CHA KUFANYAKAZI ✅ KIBALI CHA KUISHI HUKO ✅ MAHITAJI YOTE MUHIMU MUHIMU 📌 MSHAHARA: AED 1800 (...
  10. Elisante Yona

    JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  11. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kutuma mzigo ndani ya Dar na mikoani

    Habari nipo natafuta kazi ya kutuma au kuagizwa chochote mzigo ndani ya dar au mikoani mm nipo dar es salaam.
  13. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mtanzania ni kazi kama kazi nyingine

    Nawasilisha. Kuna mambo ndani ya nchi yanakera hadi kumtoa mtu kwenye uwepo. Umeme haujatulia sjui wanataka watuunguzie vitu?. Unakuwepo dk 10 unakatka kwa dk 1 na gafla unarud afu unakata tena Ingia tik tok had kuna watu washaufanyiq igizo au content ( mara wanakata eee mara wanawasha heee...
  14. Datum check

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa Land Surveying, msaada kazi na connection

    Mimi ni Me, umri miaka 21. Nina ujuzi wa land surveying topographic Surveying engineering surveying cadastral surveying ..na. Uwezo wa kutumia software kama civil 3d na Qgis. Na vifaa kama level ,total station na gps. Pia nna experience ya kufanya kazi katika ujenzi wa barabara na upimaji wa...
  15. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Airtel Money Business Support Officer

    Je, wewe ni mtaalamu wa ukuaji wa biashara, usimamizi wa akaunti muhimu, au huduma za fintech? Jiunge na mteja wetu, kampuni ya simu maarufu, kama Airtel Money Business Support Officer na usaidie kuendeleza matumizi ya pesa za mkononi, ushirikiano wa biashara, na mifumo ya malipo ya dijiti! 🔹...
  16. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

    Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za kutunza Bustani

    Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani. Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu. Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa “kazi”

    Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
  19. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania KAZI

    Ipende KAZI ULIYONAYO SASA KABLA haujapata ile ya ndoto yako 💕❤️
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Yaas wamefunga kazi kuanzia saa sita usiku mpaka sasa nne alfajiri

    Labda ndio mbinu ya kuzuia mawasiliano kati ya wanaharakati ili Dar es Salaam iwe salama You cannot accuse this government of being inefficient. Yaani Yaas wataanza kazi baada ya maandamano.
Back
Top Bottom