Wanaume: Zama zimebadilika

Wanaume: Zama zimebadilika

Tutabishaa sana na kutoa mifano ya kila aina mbona sijui kuna wauza makopo wanafanilia ukweli ni kwamba zama zimebadirika sana, Mwanamke anaweza mukueleza hana shida napesa yako wala hajalupendea Pesa ila hana maana kuwa usiwe na Pesa ipp siku tu atahitaji hizo Pesa zako, mahusiano kwasasa ni magumu sana tuwe wakweli kama haupo Daraja Flan utateseka sana hata utakaempata ni yule tu unaona acha tu tufanye maisha tulee Familia yaan wote hamna options ila wewe nsio unechakaa zaidi
 
Ukiwa na Siri na uwezo wa kutoa 20k, 30k hadi 100k upo utawala sana wake za maskini hadi uchoke mkuu, Na kuna hili kundi la wafanhabiashara wadogowadogo na wa wenye vikoba ambao kimsingi wengi ni maskini

Nilishawahi kuambiwa niwe nalipa 15k per week mimi kazi yangu ni kujichapia tu mbunye tena ya mke wa Mtu muuza Genge nilisikitika sana
Hao wake za maskini ndio wanagongwa kimasihala isivyo kawaida.
 
Having fun with the wrong ones is the beginning of implanting a lustful gene into one's body and mind. Ishi na mtu mmoja kwa kufuata matunda ndani yake

Hizo zama ambazo unasema zimebadilika, zimebadilika na kwa wanawake pia, na wao wanaucheza mchezo kwa mbinu tofauti. Sasa hivi hakuna mwanamke anaekubali kuolewa akiwa kwenye prime yake. Kila mwanamke anataka afanye exploration kwanza kwenye dating pool halafu kuolewa iwe last resort baada ya kumalizana na kila kitu. Kwahiyo hao right ones sio kwamba wapo tu mtaani wanalandalanda kama bodaboda. Mpaka umpate ni mchakato.
 
Duuh aisee mm naona ni heri nikae single nikijijenga kumpata wa kuoa mazima. Kuna magonjwa mkuu, kuna soul ties, kuna kuzaa nje
 
Tutabishaa sana na kutoa mifano ya kila aina mbona sijui kuna wauza makopo wanafanilia ukweli ni kwamba zama zimebadirika sana, Mwanamke anaweza mukueleza hana shida napesa yako wala hajalupendea Pesa ila hana maana kuwa usiwe na Pesa ipp siku tu atahitaji hizo Pesa zako, mahusiano kwasasa ni magumu sana tuwe wakweli kama haupo Daraja Flan utateseka sana hata utakaempata ni yule tu unaona acha tu tufanye maisha tulee Familia yaan wote hamna options ila wewe nsio unechakaa zaidi
Kweli kabisa mkuu
 
Ukiwa na Siri na uwezo wa kutoa 20k, 30k hadi 100k upo utawala sana wake za maskini hadi uchoke mkuu, Na kuna hili kundi la wafanhabiashara wadogowadogo na wa wenye vikoba ambao kimsingi wengi ni maskini

Nilishawahi kuambiwa niwe nalipa 15k per week mimi kazi yangu ni kujichapia tu mbunye tena ya mke wa Mtu muuza Genge nilisikitika sana
Umaskini umekuja kuharibu mahusiano kwa Hali kubwa sana
 
Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo.

Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke.

Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya wastani.

Dunia ya leo yenye shinny objects za kutosha, sahau kabisa kupata mwanamke atakaye vumilia ki IST chako na huku kuna wanaume wengine wanampigia miruzi na wana drive Range rover...

Achana na wanawake broo, tafuta intimacy kwenye purpose yako. Trust me that's one of the most intimate thing you can have as a human being.... Hakuna stability unayo weza kuipata kutoka kwa mwanamke kwa miaka hii, ambayo wanawake wana comparison Mchungu mzima, utaishiabkuimpress mtu asiye ridhika tu...

Kuna mzee mmoja alifiwa na mkewe, akaamua aoe millenia single mother ambaye alikuwa na mtoto nje, aisee yule mzee alikuwa ana mpa zawadi lukuki yule mwanamke, ila alipenda vikubwa zaid ya uwezo wa mwanaume, na mwanaume alikuwa wanazidi kupanda dau, utafikiri amerogwa.. Alikuwa ananunua katoni za nguo, vyakula vya kila aina, yule mwanamke alipenda kupata degree, na mzee akagharamikiabkila kitu, wakati yule mwanamke alikuwa ana kazi, yake.

Yaani baada ya yote hayo, bado nyumba ilikuwa haina utulivu, kila day vihoja, sisi kama majirani ilikuwa week ikipita bila kuitwa mkasuruhishe mgogoro, nasema ni kama miujiza.

Ndugu yangu mwanaume, zama zimebadilika, jali afya yako ya akili na mustakabali wa maisha yako binafsi, na watoto wako kama unao.. Achana na wanawake ndugu, utaishia kuchizika tu.

Nakumbuka familia kipindi tunakuwa, ilikuwa hata kama kuna ugomvi baina ya wanandoa hautakuja skia, ilikuwa wanayamaliza, upendo wa kweli na amani vikitawala. Wanawake hawakuwa malimbukeni wa mali, wali chukua ndoa kama kitengo nyeti ambacho no amount of money could ever buy it. Walijua kuwa familia ndo msingi bora wa jamii na koo iliyo imara... Ila leo people don't give a damn about family. Ndo maana unaona jamii ya watoto hasa wale wanafunzi walio trend wakisema wanawake walinde mabwana zao...

Ni hayo, tu ndugu zangu...

Mimi sio mgeni, jf nimekuwa humu toka kitambo. Nawatakia jpili njema na yenye baraka.
Sijasoma habari yako yote mimesoma MISTARI mitatu juu tu yatosha kukujuza kuwa upo wrong chamsingi tafuta wa size yako watu hata piki piki hatuna lakini tunakula Mali safi inshu ni ww na akili yako timamu
 
Sawa bwana
 
Ukiwa na Siri na uwezo wa kutoa 20k, 30k hadi 100k upo utawala sana wake za maskini hadi uchoke mkuu, Na kuna hili kundi la wafanhabiashara wadogowadogo na wa wenye vikoba ambao kimsingi wengi ni maskini

Nilishawahi kuambiwa niwe nalipa 15k per week mimi kazi yangu ni kujichapia tu mbunye tena ya mke wa Mtu muuza Genge nilisikitika sana
Mdau tubia dhambi hii. Maana umesababisha mwanaume mwenzio kudharauliwa kwenye malango yake mwenyewe. Ubaya wa mke anayepigwa nje ni kuwa kwa mumewe anakula na kuhudumiwa kwa kiasi chake mwanaume alafu mke anapigwa nje kwa tamaa zake binafsi kitu ambacho ni uchungu sana unahudumia anapigwa nje kwa siri alafu linaendelea kujiita mke wa fulani na kuondoka halitaki kabisa.
 
Sikimlomba mkuu nilikuwa Kona, Binafsi hakuna watu naogopa kama Wanafunzi na Wake za watu huwa naumia sana
 
Back
Top Bottom