wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

    Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂 Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda Hallelujah Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
  4. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka. Hivi ni kweli. Mtu mzima akiwa na vipele ambavyo haviponi au kuwa na makovu mengi ya mara kwa mara...
  5. adriz

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wanaweka, Oneni thamani za wanaume wanaopambana kwa ajili yenu

    Mthamini mwanaume anayejituma kutafuta maisha, anayechoka kazini huku akiwaza namna ya kufanya kesho yenu iwe bora. Yule ambaye huenda hana kila kitu unachokitamani kwa sasa, lakini anajitahidi kwa uwezo wake wote kuhakikisha mnapiga hatua pamoja. Mthamini anayesimama nawe wakati wa shida...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni wanaume wachache sana, kama wapo anyway, wenye hela ambao siyo WOMANIZER , tena notorious WOMANIZER

    This is my casual observation. Uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 50 ya kuwa duniani, umenithibitishia hivyo. Wewe unasemaje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usipande gari ambalo nauli yake haumudu from Day 1 >the end

    Haya makosa wanaume walio wengi wanayafanya pasipokujua mlipuko wake upo,na lazima ulipuke 1. Epuka "Fake Life" (Maisha ya Sifa) Wanaume wengi wanapoanza mahusiano, ili kumvutia mwanamke, hujifanya wana uwezo mkubwa wa kifedha kuliko uhalisia wao. Wanatoka nao kwenye hoteli za gharama kubwa na...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamba kwenye vikao vya wanaume hua hatokei ona sasa

    Kuna faida kubwa sana hasa zama hizi kutokea kwenye vikao vya wanaume Mwamba huyo alikuwa hatokei kwenye vikao kila akiitwa hafiki ona sasa kimemlamba 😂 😂 😂
  12. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu? Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi? Tumeona visa vya kugombea hata vitu...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Je, jinsia ya kiume ni dhaifu?

    Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu? Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi? Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao. Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyekuwa natarajia kumuoa mwezi huu Oktoba nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni wa tatu

    Mwanamke niliekuwa natarajia kumuoa mwezi huu October nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni watatu. Mkiniona kwenye ndoa nivunjeni miguu yote miwili. Nimenusurika kwenye hili sitarudia Tena ujinga.
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Kwa sababu Dini mmezigeuza kuwa biashara na utapeli Mimi binafisi nimejitolea kuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani. Hizi ndio zimekuwa sababu zangu kuu. Dini za sasa ni biashara na utapeli. =>Ukubali ukatae Leo hii dini zimegeuka kuwa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunataka Waziri wa Wanaume. Hizi za kusema Waziri wa jinsia sio kweli. Aliyepo ni waziri wa wanawake na watoto.

    TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa. Ila mimi...
  18. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga. Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  20. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wanaume chukueni hii siri

    Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia Wanawake wakali huwa wajifichi fichi, Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala...
Back
Top Bottom