Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!
Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?
Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha...
Mwanaume anayekusaidia kutoa miguno wakati wa kudinyana. Anakuuliza “Vipi mama nakuumiza mke wangu? Pole beibeyyy 😘 Misumari kilo moja
Halafu kuna Yule anakuangalia usoni kisha anakuuliza nini mamaa nipunguze kasi? Unamjibu hapana traaamuuuu 😹😹😹 Misumari kilo mbili
Halafu kuna yule anataka...
Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti
"Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao, wanabeba mabegi ya madaftari, na kuelekea shuleni kutafuta ufunguo wa maisha yao ya baadaye. Lakini...
Nchini Uganda, jamii ya wafugaji ya Wakaramajong inaendelea kuangaziwa kutokana na mila na desturi zao za kipekee za asili ambazo zimehifadhiwa kwa vizazi vingi.
Katika baadhi ya mila za sherehe za kijadi, wanaume wa jamii hiyo hujitokeza wakicheza ngoma wakiwa uchi au wakiwa wamevaa mavazi...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa.
Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Yule Shujaa.
Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa..
Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua gumzo kubwa leo tarehe 2 Septemba, 2026 baada ya kuandika ujumbe huo tata kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter).
Katika chapisho hilo, Jenerali Muhoozi alitangaza kuwa wanaume wanaoshindwa kuvuka...
Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana?
Inawezekana:-
Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya
Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya
Wanaume wengi...
Mwanamuziki wa Nigeria Tiwa Savage amefichua kwamba anatongozwa na wanawake mara nyingi zaidi kuliko wanaume.
Akizungumza wakati wa mahojiano na kituo cha Beat 99.9 FM jijini Lagos, Tiwa aliulizwa kuhusu ufuatiliaji anaopata kutoka kwa wanawake,
Alijibu "Kwa kweli sijui kwa nini, lakini...
Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.
Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume.
Chanzo : NBS
Kumekuwepo na ujumbe unaosambazwa kwenye mitandao , hususan WhatsApp, ukidai kuwa Umoja wa Mataifa (UN) ulitoa ripoti katika robo ya kwanza ya mwaka 2025 ikisema kuwa dunia ina watu bilioni 7.8, wakiwemo wanawake bilioni 5.6 na wanaume bilioni 2.2.
Ujumbe huo pia unadai kuwa UN iliwashauri...
Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo?
Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.