wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

    kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga. Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa jf unajiskiaje kujua hakuna mali humu?

    Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

    Habarini, Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha. Nilipita pita...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vinavyotuuma wanaume kuchapiwa wake zetu nje ya ndoa.

    Wakuu, kuchapiwa sikia tu kwa wenzio yasikukute. Hizi ndio gharama umemgharamia mkeo alafu muhuni anaenda kuichapa bureeeee. ~ mahari umelipa ~ simu, vocha, wanayowasiliana umenunua wewe. ~ Nguo anazovaa wanapokutana umenunua wewe. ~ Chupi anayoenda kuvuliwa umenunua wewe. ~ perfume, viatu...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumeumbwa kwa matesoooo, matesooo-kuhangaika 𝄞 𝄞

    All men, ukipata hela ishi kimasta. Weka percent kwa ajili yako peke yako, ustareheshe moyo wako.
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake, Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa. Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

    Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi. Walianzisha mfumo dume Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili. Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu. Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi. Kwa kuzingatia...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ugumba wanaume wa Dar :Shahawa hazina umbo sahihi: Chips na Ice CREAM zatajwa!

    Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting! Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF)...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wametoa ya moyoni, kina nani wanayumba zaidi kwenye mahusiano?

    Habari wakuu, Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF. Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano. Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

    Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4 Dondoo Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike? Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini all of a sudden punyeto imekuwa focal point katika mijadala ya vijana

  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njoo mnifundishe tabia ya kutojibu message kwa wakati.

    Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu. Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu. Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  16. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama mabinti! Konda wa daladala akiuliza iwapo kuna mtu anataka kushuka kituo kinachofuata, utasikia mwanaume mzima anasema, 'SHUSHAAA!' 🤮

    Mwanaume unashindana na wananawake kutamka neno, SHUSHAAA! Kwenye daladala? Si useme tu, mimi nashuka hapo mbele. Wanaume kama Jamila bhana!
  17. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

    Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana 👇👇👇 Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
Back
Top Bottom