mapenzi

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  2. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Picha Nilizopiga Na Ma Ex Zangu, Nimeshindwa Kabisa Kuzifuta Kwenye Gallery, Nimezihifadhi Kwenye Locked Folder

    Siyo kwamba nawa-miss ex, hapana, bali kila nikiangalia zile style za picha tulizopiga kwa kipindi kile, aina ya mifumo ya zamani ya maisha iliyokuwa tofauti, huwa nabaki natabasamu tu. Kuna mda ma ex huwa wananipgia simu na kuniuliza "ivi zile picha bado unazo" nawajibu ndiyo, wakisikia hivyo...
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Ni unyama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya House Girl, mtoto wake kukatwakatwa kwa mapanga na House Boy kisa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili . Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka gani ulihisi mapenzi yangekuua?

    Habari za muda wakuu, Leo nimefikisha anivessary ya miezi nane ya worst heartbreak, hadi nikapakumbuka JF:D Nakumbuka kuna siku nilianzisha uzi hapa yaliyonikuta baada ya kudumu na mtu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, itoshe kusema huu mwaka sitausahau Kwa sasa nimemove on niko vizuri na...
  5. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu anaweza kupata mahusiano mengine, kuna kumbukumbu fulani za mapenzi ya kwanza ambazo huonekana kugoma...
  6. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

    Kuna msemo mmoja unaenda hivi "when a guy has a crush on a girl every one knows knows but the crush, but when a girl has a crush on a guy no one knows but the crush" Hivyo ndugu zangu ni kheri nikawa muwazi tu maana, hisia hazijifichi.. Na mimi ego yangu sio mbaya niseme nimezee ndani hisia...
  7. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kwasasa mapenzi siyo kipaumbele changu tena

    Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu. Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa...
  8. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa 2 zilizojificha nyuma ya maumivu ya mapenzi unayokutana nayo

    Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu. Kuna watu ambao hawajawahi kabisa kuyafurahia mahusiano. Kila wanapoweka...
  9. Jambazi

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yalivyokatisha Uhai wa wakili Elizabeth Koki Musyoki

    Elizabeth Koki Musyoki alikuwa mama mwenye umri wa miaka 34, wakili wa Kenya aliyefanya vizuri sana katika kazi yake, mshauri wa masuala ya sheria za kampuni, pamoja na mshauri wa rasilimali watu (HR). Alisomea sheria katika Kenya School of Law na baadaye akasajiliwa rasmi kuwa Wakili wa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watibeli tunajua Pesa inauma kuliko Mapenzi ndio maana hatumgharamikii Mwanamke

    WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bey Minyodo Tz, kijana wa Tanzania anayewaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti Amekuwa akiungwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kuna kabila moja kubwa lipo kanda ya ziwa ajabu watu wake wanapenda kufanya mapenzi vichakani!!

    Kuna kabila moja lipo kanda ya ziwa hilo kabila kubwa na maarufu sana watu wake kuwa washamba hili kabila inashangaza sana yaani wanawake au wasichana wake wanapenda sana kufanya mapenzi vichakani na ni malaya aisee hili kabila wanawake au wasichana wake hawakatai hata kidogo aisee nakumbuka...
  14. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

    Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani. 2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Eboué: Jinsi Mapenzi Yalivyomfilisi Star wa Arsenal

    Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba uliyoijenga kwa jasho lako mwenyewe. Hiki ni kisa cha kweli cha aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi. Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu. Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

    Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko. Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego. Baada ya siku kadhaa kupita, na...
  18. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

    Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake. Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50. Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi...
  19. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

    Habari na poleni na uwajibikaji! Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa wazazi na mwanaume mwingine. Wakiwa wameoana mtoto aliachwa kwa wazazi wa mwanamke, kufikia mwanzoni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Msanii aliyesafiri kwa Baiskeli kutoka India hadi Ulaya kwa Mapenzi

    Msanii wa India, PK Mahanandia, alikutana na Charlotte Von Schedvin katika jioni ya baridi mjini Delhi mwaka 1975, baada ya Charlotte kumwomba amchoree picha yake ya uso. Kilichoanza kama ombi la mchoro wa dakika chache baadaye kiligeuka kuwa simulizi la kipekee la mapenzi, lililomfanya...
Back
Top Bottom