Msanii wa India, PK Mahanandia, alikutana na Charlotte Von Schedvin katika jioni ya baridi mjini Delhi mwaka 1975, baada ya Charlotte kumwomba amchoree picha yake ya uso.
Kilichoanza kama ombi la mchoro wa dakika chache baadaye kiligeuka kuwa simulizi la kipekee la mapenzi, lililomfanya...
Jumapili njema wakuu, nimeenda church Leo kidogo.
Nimetoa sadaka ya laki sita baada ya kupiga diesel ⛽ za kutosha kwenye skavetaa yangu kwa ajili ya kufutiwa dhambi maana hali mbaya sana, baada ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija, nikafanya kila mbinu ya kumrudisha ila zote zimefelii...
Shikamoni wakubwa.............
.leo tena mnaobeti mpeni England uhakika.
Sasa nimekuja na swali dogo ivi kiafya nichakate mbususu mara ngapi kwa mwezi?
Nimeona nilete huu huzi maana kuna binti kwa sasa tunaenda wiki ya tatu tunakulana ila jana nilianza kuwa na hali ya kukinai, Yaani...
Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...
Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.
Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Mapenzi sio hisia iliyo dhahiri ni jambo la kufikirika ambalo binadamu anahisi kuna ukweli juu ya hisia hiyo lakini kumbe ni kama kijicho ama mazingaombwe na siyo hisia iliyo ktk uhalisia.
Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi,
Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi
Let say unapata 20,000$ monthly
Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula
Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$
Pili wazazi au walezi. 500$...
Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake
Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee
Mtu mpumbavu hupimwa kwa yale yamtokayo moyoni mwake. Au hupimwa kwa chatting stylist yake.
Binti unachat naye kidogo anaanza kuandika njaa inaniuma. Hajala anasema , anahitaji umtumie elfu 5 ya kula.
Huyu ni binti mpumbavu, ukimwoa mtazaa watoto wajinga wenye mtindio wa akili.
Elfu 2 anaomba...
Ciao.!
Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi.
Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake.
Pisi ya kichaga kukuita "oi" ni kawaida sana au text inaingia ukifungua unakuta imeandika "vipi man"...
Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu.
Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea; achilia mbali manyanyaso ya huko kazini.
Sasa ni muda wa kujipongeza mimi mwenyewe na nafsi yangu...
Mapenzi ya siku hizi yanafurahisha kama hujawahi kuwa muhanga wa michezo. Uko zako Insta au Facebook ama TikTok unavinjari zako tu, ghafla unaona demu ka like comment au post yako na kaku follow kabisa.
Unasema, Ngoja nitest zali nijioenee nisikae kinyonge unakaaje mwezi mzima hutongozi na...
Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu
Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia...
Kwa sasa naona kabisa mapenzi yameshanishinda ila napata shida Sana kuwaambia hawa mabinti kuwa siwahitaji Kwa sasa napata shida Sana kuwaambia ukweli.
Naombeni ushauri wenu aisee nataka niachane na wanawake wote Kwa sasa nianze kujitafuta na huu udaktari wangu wa mifugo Hadi nijipate .
Wanazengo naombeni msaada, huyo kwenye picha ndo Khadija wangu nampendaaa sana, huyu Binti ndo kila kitu kwenye maisha yangu,
Tangu ameniacha mara kadhaa nimejaribu kujfanya kila namna ili nimsahau nashindwa inauma sana,hapa TU sijaenda kazini na mchina anataka kunisimamisha kazi ,sababu ya...
Napata kesi nyingi kwa vijana na malalamiko kuhusu mahusiano.
Ni kweli kwa dunia ya sasa mtu akiniambia ana kwenda kuoa au kuolewa nawaza sana kama kubeti ukaweka GG.
Tunapoteza pesa kuchangia michango mwisho wa siku talaka.
Kwa dunia ya sasa na maisha ya sasa mapenzi yamegeuzwa kitegauchumi...
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.
Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
Kuna changamoto kubwa Sana kwa mtu mzima kuumia au kuteswa na mpenzi, labda alichelewa kuanza mahusiano au changamoto za Kimaisha au kiafya, mimi binafsi kutokana na kujihusisha na mapenzj mapema, nimepitia mishale mingi Sana kiasi ambacho kwa Sasa haiwezekani tena kuumizwa na mpenzi, nishawahi...
Habari Wana jamii!! Mpo salama? Mpo poa?
.
Niende Moja kwa moja kwenye habari, nimewaza hili nikikumbuka matukio mawili ambayo Siwezi kuyasahau, yanafundisha sana, na kuonyesha vile vile.
.
TUKIO LA KWANZA.
nikikua na mpenzi mwanamke mzuri alieajiriwa jeshini ni daktari, alipata mafunzo yote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.