Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi.
Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
Wana JF
Watu wengi wanapoamua kuanza ufugaji, huanza kwa kutafuta eneo, kujenga mabanda, kununua mifugo na kuandaa chakula. Lakini mara nyingi husahau kujiuliza swali muhimu: Mifugo yangu ikiugua, nitapata wapi msaada wa daktari wa mifugo?
Ufugaji una changamoto nyingi za kiafya. Kuku wanaweza...
Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo.
Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke.
Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya...
Aaaha Wakuu,
Ni hivi na wewe ulikua unajua hii? Kwamba;
Sijui km unajua na km ulikua haujui basi leo ngoja nikujuze na utakua umejua na ninajua ulikua haujui basi leo umejua hili neno Buza kwa Mama Kibonge, Buza kwa Mpalange, Buza Kanisana, Buza kwa Lulenge, Buza limetokana na neno Buddha...
Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?.
Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa...
Wakuu !
Kama title ya huu uzi inavyojieleza, sasa kupitia AI unaweza ukafanya mwenyewe skin dermatology bila kumuona mtaalamu wa ngozi ili kujua una gani aina ya ngozi, chunusi na madoa ambayo huyaoni kwa kioo, utapata kutambua ukavu wa ngozi au kama ngozi yako ina mafuta mengi na vile vile...
Kwanza kabisa nipende kujitambulisha,
You can call me King of hearts ♥️
Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia)
Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai
Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu...
Habari za muda huu wana-JF,
Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.
Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao.
Na jambo la kushangaza zaidi?
Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀
Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu...
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Metadata ni taarifa zinazoelezea taarifa nyingine
Hizi taarifa mara nyingi zinakuwa zimehifadhiwa kwenye picha au video metadata itasoma hio picha ilipigwa wapi muda gani camera gani ilitumika au simu gani ilitumika kupiga picha
Sasa hii metadata imesababisha watoto wadogo kukamatwa na hii...
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili?
Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa?
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities?
Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm..
Yaani...
**Je unajua kitendo #hiki kwenye ujasusi??
**Kwenye ujasusi unaweza kutambua unafatiliwa au unapelelezwa na watu wenye nia mbaya alafu wewe unatangaza hadharani sehemu ulipo ili kuweza kuwaibaini hao wanaokufatiliwa??
**Kijasusi, kitendo hiki kinaitwa Counter-Surveillance (Ushushushu wa...
Mtandao na internet
Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet
Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila
Barabara na uchukuzi
Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
MUNGU HAWEZI KUKUOKOA MBELE YA MWANAMKE ALIYEAMUA KUKUANGAMIZA. UNAJUA NI KWA NINI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii ni siri hutokuja uambiwe popote. Na leo nitakuambia.
Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya serikali.
Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya majambazi yenye silaha.
Mungu anaweza...
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!
Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)
Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.
NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.
Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto...
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.