Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu!
Unajua kitu kizuri zaidi?
UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE!
Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
SIRI YA UTAJIRI AMBAYO WENGI HUIGUNDUA BAADA YA KUPOTEZA MAISHA YAO WAKIUTAFUTA
Fikiria mtu alikuwa analipwa shilingi milioni moja kwa mwezi. Alikuwa anatumia karibu milioni moja. Baada ya miaka michache, mshahara wake ukaongezeka na kufikia milioni tano. Ungetegemea kwamba sasa ana akiba kubwa...
KAMA HUNA PESA, NI LAZIMA UJIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA PESA. KWA SABABU PESA HUJENGA PESA!
Kuna ukweli mmoja ambao vijana wengi hawataki kuukubali: Huwezi kujenga utajiri kwa kutumia kipato chako chote kwenye matumizi.
Pesa ina tabia moja muhimu. Ukiitumia vizuri, inaweza kukuzalishia pesa...
Habari za wakati huu wakuu wa jukwaa hili.
ukisikia mjini njoo na akili zako nguvu acha kijijini basi soma uzi huu kwa umakini.
Kuna kitu kimoja nimekuwa nikikiona mtaani kwetu, hasa kwa vijana wajanja wanaofanya biashara za Electronics (TV, sabufa, simu), Movie Libraries, na hata Hardware za...
https://youtu.be/WQkcglWsKeA
Habari zenu Wana-JF.
Kuna uchambuzi mzuri unaoelezea mambo ya fedha ambayo wengi wetu tunayaamini lakini kiuhalisia yanatutia hasara kila mwaka. Uchambuzi huu unatumia takwimu halisi za kiuchumi na viwango vya mfumuko wa bei kutoka Tanzania na Kenya.
Hapa chini ni...
Jiulize nyumbani kwenu huna nyumba ya gharama, mara fuko la pesa za rushwa hizi hapa, ni wachache sana wanaweza kukataa. Zile pesa Abdul alizojaribu kumuhonga mwamba, zingebadili maisha ya ukoo wa lissu haraka mno, ila akazikataa .
Katika dunia ya Leo ya ubepari, wengi wangeona hiyo ni fursa...
90% ya mapenzi ya sasa kijana wa kiume na wa kike wakichati meseji 5 kila mmoja ya 6 itahusu pesa .
Nikuambie kitu?
Mwenzenu nina shida
Naomba 30, 20, 50, 100.
Sijui nywele zimefanyeje.
Enzi zile tigo mnatumia sh. 100 kupiga simu masaa 2 tulikuwa tunaongea masaa 2 na ikikata mnaanza tena masaa 2...
https://youtu.be/XI7YlZP1W4w
Habari zenu wanabodi.
Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
Suala la Wakristo kutokuogopa pesa za watu wengine limeota mizizi.
Watu wengi hutoroka kwenye makanisa yao na kusema wameitwa na Mungu si kweli.
Wengi wameitwa na pesa. Unaona kabisa askofu wako au prophet wako anakusanya mamilioni kila siku na wewe uko naye karibu hapo lazima shetani akujaze...
How to survive in Tanzania:
1. Sina
2. Sitoweza
3. Sitaki
4. Haitowezekana
5. Sijui
6. Asante
7. Sipo
Ukiweza kusimamia hii Utaishi maisha marefu yenye Furaha.
Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa.
Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa.
Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara.
Msaada wenu🙏
Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo.
Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke.
Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya...
Wakuu nimeunda hii App ya Infinity Pesa Tracker. Inakuruhusu kuunda budget, kuonyesha vyanzo vya ela na pesa iliyoingia, kuweka kila matumizi unayofanya, kuweka malengo ya savingi na kuyafuatilia.
Haina matangazo na ni bure kabisa na kila utachoweka kitakuwa backedup kwenye account yako ili...
Don't panic! Kuna njia salama na yenye unafuu wa gharama kulihifadhi gari lako kupitia BONDED WAREHOUSE wakati ukijipanga kupata fedha za kulipia ushuru.
Njia hii ndio utumiwa na waagizaji na wauzaji wa magari wanachofanya ni kupeleka gari bonded warehouse na kuanza kutafuta wateja ikitokea...
Hellow wakuu,
Mimi binafsi huwa naleta thread kutoka field moja kwa moja kutoka mtaani mwaka 2020 yalinikuta enzi za anko Magu Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku yaani nilikonda nkachakaa 😄 usiombe uwe na biashara halafu huna backup unaitegemea hiyo hiyo na wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.