Kwa comment hii, wewe ni jamaa mmoja mstaarabu sana, ila ukila mbogamboga, watu tanaachaga ndala humu ndani... infact umeeleweka mwambanakutia moyo tu gentleman as family friend,
but not unnecessary uniamini,
hata hivyo, hicho ndicho nachokijua kwa uchache.
In fact wanastahili lawama kutoka kwa wateja wao, ikiwa kweli kuna changamoto na hawajatoa taarifa kwa umma 🐒
Sasa Leo divident imeongezeka kwenye Salio langu UTTNonsense mind!
Ni kweli jana mtandao wao uliuwa down, hata ukinunua hupati sms za mrejesho. Ila naona mambo yako sawa leo.Wewe ni mzushi. JF utakuta mtu yupo kwa shemeji yake wanachambua mchele analetea taharuki watu