Habarini,
Unakutana na mdada kijijini, familia yake unaijua, unamtongoza fresh, kwenye talking stage unamzingatia vihela viwili vitatu, unakua sio mchoyo kwake, mnaongea vizuri , fresh.. unamuomba mzigo, mnakubaliana mnakutana siku flani, anakuja mnazagamuana..
Dakika chache baada ya tendo...