Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,530
- 3,939
- Thread starter
- #41
Hii ni kweli. Ni bora ununue viwanja utulie au ununue hata mapagala Dar na mikoani utulie. Hawa sio wa kuwaamini kwa sasa.Ukifanikiwa kuzipata, toa pesa zote weka Kwa box Kaa nazo home.
Mifumo ya kibenki yaenda kuvurugwa duniani kote