Hawachelewi kusema serikali imechukua pesa zote Bado hawajarejesha...taasisi zinakopeshana kisiri siriMifuko ya uwekezaji haipo serious ndio maana wengi wana mashaka kupita kiasi. Taarifa hawatoi na hawajali.
Hawachelewi kusema serikali imechukua pesa zote Bado hawajarejesha...taasisi zinakopeshana kisiri siriMifuko ya uwekezaji haipo serious ndio maana wengi wana mashaka kupita kiasi. Taarifa hawatoi na hawajali.
Wanasababisha taharuki kubwa sana.Wazembe hao..
Duu! Watu hawakawii kusepa na vibunda vya watu.Hawachelewi kusema serikali imechukua pesa zote Bado hawajarejesha...taasisi zinakopeshana kisiri siri
Ujumbe huo wameandika wao?Samahani ndugu mteja,tuna changamoto za mtandao.Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Ahsante
Hv WAKATI WA DECI ULIKUWA NA UMRI GANI??
QNET JE??
Relax gentleman,Habarini
Tangu jana siwezi kuingia kwenye account ya UTT kuangalia salio. Je kuna shida gani huko wadau?
Hiyo taarifa unatoa wewe Mkuu? Kwanini wao wapo kimya?Relax gentleman,
kuelekea mwisho wa mwaka 2026, taasisi na mamlaka mbalimbali za umma na binafsi, zipo katika hatua za kuboresha na kuimarisha mifumo yao ya kidigitali na kufanya majumuisho ya taarifa za mwaka, na hivyo, changamoto za kimfumo kutokana na maboresho hayo ya kimtandao kunaweza kutokea na ugumu au usumbufu kidogo kwa nyakati tofauti tofauti, but ni vizuri kua amani kwasababu teknilojia hua haipotezi kitu.
Nadhani INEC, Mahakama huru ya Tanzania, TANESCO, CRDB na baadhi ya taasisi zililalamikiwa katika siku chache zilizopita but mambo ni bambam kwa sasa.
So,
just kua mstahilivu na mwenye subra, na I hope things gonna be alright 🤝
nakutia moyo tu gentleman as family friend,Hiyo taarifa unatoa wewe Mkuu? Kwanini wao wapo kimya?
wengi wameingia kwa kufata/kushawishiwa hawaelewi lolote,lazima wawe na wasiwasi na pesa zao.Acha mawazo ya kijinga kijana ungekuwa DSE ungesemaje
Wanaleta taharuki sananakutia moyo tu gentleman as family friend,
but not unnecessary uniamini,
hata hivyo, hicho ndicho nachokijua kwa uchache.
In fact wanastahili lawama kutoka kwa wateja wao, ikiwa kweli kuna changamoto na hawajatoa taarifa kwa umma 🐒
Hakikawengi wameingia kwa kufata/kushawishiwa hawaelewi lolote,lazima wawe na wasiwasi na pesa zao.
Hizo hizo Mkuu, wakipita na hata 60ml kwa wenye vipato vya kawaida wanakuwa waneturudisha nyuma sana.UTT ni kwa madon tu sio wenye hela za mawazo
uko sahihi gentleman 🐒Wanaleta taharuki sana
Mkuu, watu wanafurika Sukari House kwenye ofisi yao ya Dar mpaka inatia wasi wasi.Binafsi nina Acc zangu kule na watoto wangu...wasipo kuja na maelezo yakutosha basi na amisha pesa zote kupeleka Bank wasintanie
Sasa si utakua umejitia kidole na kunusa mwenyewe? Yani utoe hela UTT upeleke bank.Binafsi nina Acc zangu kule na watoto wangu...wasipo kuja na maelezo yakutosha basi na amisha pesa zote kupeleka Bank wasintanie