gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs?

    Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa mtapata faida gani? Utawala wenu utakubalika zaidi?

    Amekutwa na hatia ya kujibu. Maana yake kuchomoa hizi hatia kwa mahalama zetu hizi za Tanzania ambazo kada wa CCM Rostam Aziz alisema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu ni kidogo sana. Ikitikea akahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa hili la uhaini wa mchongo mtapata faida gani. Kwamba...
  3. proton pump

    JamiiForums Tanzania Ni uraibu gani unatamani ujinasue nao lakini umeshindwa?

    Kwa hali ya kawaida katika maisha ya kila siku jambo moja huanza taratibu na mwishowe huwa ni mazoea. Kiasili ubongo wa mwanadamu hupenda starehe sana kuliko shida. Yaani mtu anaweza kushikwa uvivu, kughairisha mambo, kuacha kazi baada kuona ni ngumu japo inalipa, kulala sana n.k. Hivyo mara...
  4. min -me

    JamiiForums Tanzania Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

    Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake? Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja. Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
  5. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  6. Half american

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa CR7 kwenye kufunga ndoa yake ni mzuri sana, ni wa kuigwa. Una maoni gani mdau?

    Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina umuhimu gani kwa Watanganyika?

    Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa. Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini. Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+ Tamasha kama hili...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

  10. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
  12. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  13. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Kuna kile kitu unatamani kukifanya ila unaogopa matokeo baada ya kitendo,ni kitu gani hicho?
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura. Wote...
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Sijali CCM itakaa madarakani muda gani

    Kwangu mimi binafsi sijali CCM itakaa madarakani muda gani. Nimefika hatua sioni namna CCM itatoka madarakani kwa njia ya amani itakuwa njia mbaya sana wao kutolewa madarakani. Sasa kama hawawezi kutolewa madarakani basi bado wanacho chumba cha kujifanyia reforms. Sisi sio nchi ya kwanza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani. Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama...
  17. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  18. My mee

    JamiiForums Tanzania TTCL FIBE wanachukua mda gani mpaka kuja kufunga?

    Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi?? Nataka kufanya MAOMBI. Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
  19. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

    Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,, Nikapekua...
Back
Top Bottom