Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa
Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
Habari wakuu kutokana na kutingwa na Majukumu sana na hivyo sitapata muda mwingi wa kukaa darasani
Nilikuwa nauliza wapi au chuo kipi ninaweza Soma Master's ya project management ambayo ni executive ili isinibane sana kuendelea na majukumu mengine ya kimaisha
Ahsante
🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️
Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano.
Hali hii inapoongezeka...
Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma.
Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
adobe
bomu
bure
duka
gani
google
google pixel
hata
iphone
kiwango
kufungua
kutengeneza
makampuni
makampuni ya simu
mbadala
mmoja
mtu
mtu mmoja
n.k
nuclear
photoshop
pixel
premiere
pro
simu
software
wameshindwa
Binafsi sioni kabisa
Naona tunatokea na kupotea tu
Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu
Sioni maana ya uwepo kabisa.
Unazaliwa then una kufa tu
Sasa si bora tu usinge kuwepo?
What the hell are we doing here?
Hebu na nyie Semeni bwana humu duniani...
Ukitaka timu yako ishinde unaweza kumhusisha Mungu. Jee ikishinda ni sawa kumshukuru Mungu na ikishindwa ni Mungu wa kulaumiwa?
Ukifanya biashara ni sawa kuhusisha Mungu, kama mizani yako haipo sawa ukipata faida unaweza kumshukuru Mungu.
Unapotongoza upate mke unaweza kumhusisha Mungu hata...
Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun
Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na...
Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious.
Ni vitimbi gani vingine hufanywa
Imagine mtu mmeshaachana na kugawana mali kisha akiona umetusua na yeye bado anakula vumbi anataka kuja kukuvuruga.
Haya mambo ya kuuwana yataisha kweli?
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
viongozi
viongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii.
Moja ya hivyo ni Tongoni.
Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
Ili ugali upande na unoge unahitaji visindikizaji yaani mboga, kwa upande wangu mie napenda sana ugali na dagaa ukiwepo na mlenda naweza kula ugali kwa raha sana.
Kama kuna mlenda napenda dagaa wakavu au wapikwe rosti changanya nyanya chungu na bamia yaani wee acha tu.
Wakuu, wewe ugali...
https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh
Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya:
1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara?
2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ?
Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
Nyumbani kuna kazi nyingi sana zinazotumia muda mwingi na haziishi zinajirudia rudia kama kupika, kusafisha nyumba, kuosha vyombo nk.
Kati ya kazi hizo mie sipendi kabisa kufuta vyombo na kupanga kabatini nafanya kwa sababu nalazimika ila kungekuwa na mtu wa kuwa anapanga mie naosha tu namaliza...
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.