Ndugu wanajamvi je serikali haioni ni muda muafaka wa kuwashindanisha vijana katika mambo muhimu kwa ajili ya kujenga taifa lenye watu walio na utaalamu na hasa ikizingatia uhitaji wa dunis ya sasa? Kwa nini kama nchi turuhusu mambo ya kipuuzi kama urembo, utanashati na Makonda juzi anatoa maoni...
1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde
2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi .
3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma.
4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O.
Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki?
Hebu fikiria jambo hili.
Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa wafugaji wa nyuki mkoani Tabora, anaichuja, anaifungasha vizuri kwenye chupa zenye lebo, kisha anaiuza...
Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu.
Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu.
Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote??
CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo.
Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo.
Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
Wakuu
Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye demokrasia utaanza. Katika ziara hiyo, pia alizindua Zahanati ya Kijiji cha Nyawishi na kutembelea...
Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa...
nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee.
pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10.
nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.