Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa
Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli.
Kitabu cha Hesabu 1:1-3:
1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake.
Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji.
Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi...
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la Financial Times la Marekani, imenukuu utafiti uliofanywa na kampuni ya ushauri wa kimkakati duniani Ernst & Young-Brexit, ikisema kama Marekani, Umoja wa Ulaya, na Uingereza zinataka kuondoa kwa kiasi kikubwa utegemezi wao kwa viwanda vya China na...
Mwenyezi Mungu amesema:
"Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13)
Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari.
Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;-
Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani,
Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali,
Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa,
Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA,
Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana...
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k.
Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki...
Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze.
Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie.
Nini aepuke ili asijekupotea...
WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo.
Dhana potofu kama;
1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume.
Ukweli ni kuwa wanaume...
Swali hili lina majibu mengi kwa sababu "raha" inaweza kuwa ya mwili, akili, moyo au roho. Kwa mtazamo wa sayansi, raha hutokea pale ubongo unapotoa kemikali kama dopamini, serotonini, oksitosini na endorphins ambazo hutufanya tuhisi vizuri.
Baadhi ya vitu vinavyotupa raha ni:
Upendo na...
Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi.
Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye.
Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni...
Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala saa 10 alfajiri hivyo analazimika kuamka saa 7 mchana.
Nimeshaongea mno mpaka nimekata tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.