Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Mkuu umekuwa brain washed, babu zako na watu kabla yao, waliishi hapa Tanzania na wali enjoy nature na hakukuwa na hizo modern infrastructure au huduma za kipigaji za hospitali.

Kwanza unapaswa kujua kwamba huduma za afya za kibepari ni za kipigaji, madawa mengi ya kizungu hayajatengenezwa kutibu, bali kupooza maradhi.

Wewe unaonekana umeingia kwenye mifumo ya mabepari, unataka ufanye shopping kwenye supermarket ya beberu na uache kununua nyaya za mangi hapo jirani yako.

Uende ukaishi kwenye maisha ya upweke ili hali hapa Bongo tunaishi vizuri tu kijamaa na ndugu na jamaa

Mifumo ya maisha ya Bongo ni mizuri na inahakisi uanadamu
Mkuu nenda porini kwa wahadzabe kina Chaaba na Dudukwe ukaishi na nature.

Mbona unaishi huku uraiani kwenye modern infrastructures?

Kwa nini usiende Katavi huko porini ukaishi na nature kama mababu zetu?
 
Duh umemaliza mkuu hili nalo neno,,unaweza nunua gari kali lakini miundombinu hovyo hutoenjoy hiyo gari,, ukiumwa uende India,unalipa Bill ya maji lakini maji yenyewe mashaka,umeme hivohivo unakatika zaidi ya malaya an hovyo sana,na wakati huo Kodi unalipa 🙄.
Bongo tunaishi kwa kujifariji tu siyo kwa mipango ya nchi. Yaani inafikia hatua hata kitu kidogo kama kupata maji safi au umeme wa uhakika kinakuwa cha kushukuru badala ya kuwa haki yetu ya msingi baada ya kulipa kodi.
 
Mkuu umekuwa brain washed, babu zako na watu kabla yao, waliishi hapa Tanzania na wali enjoy nature na hakukuwa na hizo modern infrastructure au huduma za kipigaji za hospitali.

Kwanza unapaswa kujua kwamba huduma za afya za kibepari ni za kipigaji, madawa mengi ya kizungu hayajatengenezwa kutibu, bali kupooza maradhi.

Wewe unaonekana umeingia kwenye mifumo ya mabepari, unataka ufanye shopping kwenye supermarket ya beberu na uache kununua nyaya za mangi hapo jirani yako.

Uende ukaishi kwenye maisha ya upweke ili hali hapa Bongo tunaishi vizuri tu kijamaa na ndugu na jamaa

Mifumo ya maisha ya Bongo ni mizuri na inahakisi uanadamu
Na huko hapa na simu ya mzungu na mitandao ya kizungu!😁, baadaye utapanda gari la mzungu, treni au ndege badala ya punda
 
Bongo ni kuzuri ila uwe na pesa
Kwa huduma za jamii kama afya na miundombinu hata kama una pesa una tofauti ndogo sana na wasio nazo mkuu. Madaktari walewale makanjanja. Kutibiwa mpaka India, ambako napo hamna huduma yeyote ya maana. Barabara ni zilezile zisizo na road signs na nyingi hata za lami zinazobomoka kila msimu wa mvua. Bongo utaipenda kama unapenda maisha traditional saana ya Kitanzania. Kinyume na hapo lazima at some point utawaza kujaribu maisha nchi nyingine.
 
Na huko hapa na simu ya mzungu na mitandao ya kizungu!😁, baadaye utapanda gari la mzungu, treni au ndege badala ya punda
Shida yenu mnafikiri innovation na technology ni vitu vya wazungu.

Innovations and inventions nyingi zimefanywa na watu makini kutoka kwenye every human race.

Babu zetu waliokuwa mbali sana ya Mzungu wakati hao wazungu wanaishi mapangoni sisi huku tulikuwa tunatengeneza pyramids, tunafanya hesabu, tunalima kwa irrigation na kutengeneza vitu vya thamani kwa kutumia madini ya dhahabu na shaba.

Hao wazungu walichofanikiwa ni kuku brainwash, kuamini simu ya Techno ninayotumia ni ya Mzungu na Toyota Corolla ninayotamba nayo ni ya Mzungu

Acha kukariri
 
Kwa huduma za jamii kama afya na miundombinu hata kama una pesa una tofauti ndogo sana na wasio nazo mkuu. Madaktari walewale makanjanja. Kutibiwa mpaka India, ambako napo hamna huduma yeyote ya maana. Barabara ni zilezile zisizo na road signs na nyingi hata za lami zinazobomoka kila msimu wa mvua. Bongo utaipenda kama unapenda maisha traditional saana ya Kitanzania. Kinyume na hapo lazima at some point utawaza kujaribu maisha nchi nyingine.
Acha kukariri wewe, kula chakula bora utapunguza maradhi mengi, acha kugonga mademu wa buku tatu utapunguza kutumia madawa ya kizungu kama vile AZUMA.

Kabla ya kuja mkoloni wazee wetu waliishi miaka mingi tena zaidi hii tunayoishi sasa.

Tafuta na uiishi mifumo yao, kitu ambacho tunasahau tumebadili mifumo ya kuishi na kuiga ya mkoloni na hivyo ni lazima uingie kwenye mifumo yao ya matibabu.
 
Pamoja na changamoto zake nyingi, bado bongo ni pazuri tu, ukiondoa nuances za mambo ya kisiasa, umasikini uliokithiri na maisha duni, kama una mipato cha kuridhisha bado bongo ni pazuri kuishi.

Huko nje ni kizuri sana maana serikali zina pesa, huduma za kijamii ziko standard ya juu, ila home is sweet hasa ukiwa na kipato cha kati kwenda juu.
 
Shida yenu mnafikiri innovation na technology ni vitu vya wazungu.

Innovations and inventions nyingi zimefanywa na watu makini kutoka kwenye every human race.

Babu zetu waliokuwa mbali sana ya Mzungu wakati hao wazungu wanaishi mapangoni sisi huku tulikuwa tunatengeneza pyramids, tunafanya hesabu, tunalima kwa irrigation na kutengeneza vitu vya thamani kwa kutumia madini ya dhahabu na shaba.

Hao wazungu walichofanikiwa ni kuku brainwash, kuamini simu ya Techno ninayotumia ni ya Mzungu na Toyota Corolla ninayotamba nayo ni ya Mzungu

Acha kukariri
Babu zako walijenga Pyramids na kulima kwa irrigation wapi mkuu ? Unaweza kunipa mfano hata mmoja wa hao babu zako ?
Techno na Toyota Corolla vyote ni copy ya teknolojia ya mzungu au Western world.
Halafu hata weusi waliopo Marekani na Ulaya wakigundu vitu hao sio babu zako, babu zako ni walioko Tandahimba, Ugweno, Mlimba n.k
 
Pamoja na changamoto zake nyingi, bado bongo ni pazuri tu, ukiondoa nuances za mambo ya kisiasa, umasikini uliokithiri na maisha duni, kama una mipato cha kuridhisha bado bongo ni pazuri kuishi.

Huko nje ni kizuri sana maana serikali zina pesa, huduma za kijamii ziko standard ya juu, ila home is sweet hasa ukiwa na kipato cha kati kwenda juu.
Kwa hiyo uzuri wa bongo ni upi mkuu ?
 
Kwa hiyo uzuri wa bongo ni upi mkuu ?
Umeuliza swali technical, kwa sababu unajua kabisa uzuri wa bongo unatafutwa kwa tochi.

Upweke, mkuu huko ng'ambo watu wanakuwa wapweke sana, kwa kauzoefu kadogo nilikopata, kweli kabisa ni bora niishi bongo kuliko baadhi ya nchi za magharibi, siwezi kusemea zote maana sizijui, ila upweke ni deal breaker kwangu.

Tumelelewa kijamaa, yaani pamoja na kwamba leo tunazungumzia ubepari ila bado watanzania wengi tunaishi kijamaa tu( mf. mtu akipita mahali asalimie kila mtu), socialisation ipo kwa kiwango kikubwa, hii inamfanya hata masikini afurahie hicho kidogo Mungu alichompa. Kwa wenzetu hii inaweza kuwa ngumu, watu wapo busy, hakuna mwenye time na mwenzake, hakuna socialisation hata kidogo, labda kwa vile siku hizi mtu anakaa na simu yake kutwa akaendelea kufurahia maisha.
 
Uko sahihi kwa mtazamo huo, ikiwa kipaumbele chako cha juu zaidi kuliko vingine ni maisha ya ujamaa na socialization za undugu na urafiki zaidi kuliko miundombinu bora, uhuru binafsi, utawala bora, wingi wa fursa, teknolojia, innovations, ufanisi, meritocracy na mambo mengi ya aina hiyo yaliyo zaidi na yanayowezekana zaidi kwa sasa jamii za Magharibi, Japan, Singapore na Korea Kusini basi hakika bongo ni sehemu nzuri.
 
Shida yenu mnafikiri innovation na technology ni vitu vya wazungu.

Innovations and inventions nyingi zimefanywa na watu makini kutoka kwenye every human race.

Babu zetu waliokuwa mbali sana ya Mzungu wakati hao wazungu wanaishi mapangoni sisi huku tulikuwa tunatengeneza pyramids, tunafanya hesabu, tunalima kwa irrigation na kutengeneza vitu vya thamani kwa kutumia madini ya dhahabu na shaba.

Hao wazungu walichofanikiwa ni kuku brainwash, kuamini simu ya Techno ninayotumia ni ya Mzungu na Toyota Corolla ninayotamba nayo ni ya Mzungu

Acha kukariri
Ulicho kieleza hapa ni sawa na mzee aliyefilisika anayesimulia jinsi alivyokuwa tajiri ujanani wakati hana hata hela ya kula leo.

Dunia ya sasa inaendeshwa na nani ana suluhisho la matatizo ya leo. Period!
 
Mkuu, wewe tayari ni mtumwa, tueleze uko wapi tukuchukue tukupeleke kwa hao colonial masters wako
 
Back
Top Bottom