Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,887
- 141,190
Eric alibadili kabisa uraia alipoenda kusoma US. Nilimuona kama kachanganyikiwa kakosa uzalendo. Ila kwa sasa naona kumbe mimi ndio nilikuwa nimechanganyikiwa
Eeh I wonder 🤣🤣Eric alibadili kabisa uraia alipoenda kusoma US. Nilimuona kama kachanganyikiwa kakosa uzalendo. Ila kwa sababu naomba kumbe mimi ndio nilikuwa nimechanganyikiwa
Yule jamaa hakuna kilichopungua zaidi ya kuwa mbali na wazazi wake. Lakini kila mwaka yupo kwao, na awapiga tafu wazazi na madogo. Kuhusu misaada na kufika kwao, hana tofauti na mimi niliyepo hapa hapa BongoEeh I wonder 🤣🤣
Acha tuipate maana aliyetaka kuibadili nchi mlimchukia na mwenyazi mungu akamchukua mapema!Jipe moyo tu, hayo maviongozi yako ndio yanayoongoza kupachukia huko nyumbani na yanakwiba haswaa pesa za umma ili yaje yaishi mamtoni yenyewe na familia zao. Wewe huko mpenda nchi mpaka leo umeme wa kuunga unga, maji safi ya bomba hamna, barabara mbovu, madawa feki ya India n.k. endelea kulipenda titi la mama 😀 😀 😀 😀
Usituseme sana mkuu, wote mizizi yetu ipo Africa hata kama mpo mlioamua kwenda nje.Kupenda uduni na ubovu ni definition ya ujinga. Hili ni tatizo common Africa from top down ndo maana Africa ipo mahali ilipo kimaendeleo.
Umekua mkweli na umekataa unafiki 👏🤝Yule jamaa hakuna kilichopungua zaidi ya kuwa mbali na wazazi wake. Lakini kila mwaka yupo kwao, na awapiga tafu wazazi na madogo. Kuhusu misaada na kufika kwao, hana tofauti na mimi niliyepo hapa hapa Bongo
Nani alitaka kubadili nchi?Acha tuipate maana aliyetaka kuibadili nchi mlimchukia na mwenyazi mungu akamchukua mapema!
Hakuna kuchelewa mahi, We enda zako.Walinisema kikongwe nshachelewa jamani ahhh naenda na mimi states
Never been happy in this country
Koti isilovaa Huwezi kujua chawa waliomo. Unajua ukiwa huko majuu, wewe ni sawa na bodaboda tu! Ila ukija huku, ukachenji euros zako unaonekana kama Abdul wa wiki kadhaa. Lakini kuishi ugenini kusikie kwa jirani.Yule jamaa hakuna kilichopungua zaidi ya kuwa mbali na wazazi wake. Lakini kila mwaka yupo kwao, na awapiga tafu wazazi na madogo. Kuhusu misaada na kufika kwao, hana tofauti na mimi niliyepo hapa hapa Bongo
Sitamtaja maana sitaki kuharibu uzi wako! Hapa JF wengi wanamchukia maana aliwaumbua na vyeti vyao feki.Nani alitaka kubadili nchi?
Wewe labda useme unaipenda Tanzania kwa vile umezaliwa tu.Majibu ya maswali yote ni Tanzania.
Unajaribu ku compere ila ni kujidanganya mwenyeweHata huko unapohisi maisha ni nafuu wapo wazawa wanaohisi maisha ni magumu
Comparison is a thief of Joy
Usituseme sana mkuu, wote mizizi yetu ipo Africa hata kama mpo mlioamua kwenda nje.
Nimeshamjua ni nani yule hakua na lolote na yeye katoa mchango mkubwa mpaka hapa tulipo alifichua wenye vyeti fake ila akaua upinzani na kuacha bunge la kijani na njano hakuna challenge ni mwendo wa kugonga meza tu hovyo kabisaSitamtaja maana sitaki kuharibu uzi wako! Hapa JF wengi wanamchukia maana aliwaumbua na vyeti vyao feki.
Mh! Basi tu kwaheri! Kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake ila kwa JPM mazuri lukukiNimeshamjua ni nani yule hakua na lolote na yeye katoa mchango mkubwa mpaka hapa tulipo alifichua wenye vyeti fake ila akaua upinzani na kuacha bunge la kijani na njano hakuna challenge ni mwendo wa kugonga meza tu hovyo kabisa
Ijenge Africa iwe habitable mkuu! Wote tukikimbia hili bara litakuwa giza kweli kweli.Tunaongea uhalisia. Wamatumbi tuache kujipa matumaini hewa na kutetea uduni wakati there's more to life.
Kinachotufanya tutamani kwenda nje ni convenience ambayo tunahisi nyumbani haipo, kitu ambacho ni kweliUnajaribu ku compere ila ni kujidanganya mwenyewe