The UPCOUNTRIAN
Senior Member
- Oct 28, 2026
- 149
- 320
Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!.Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
Mzee Pasco.
- kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
- Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
- Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
- Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
- Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
P
Hivi Mkuu, wewe ni mzoefu wa siasa na una umri mkubwa kuliko mimi, naomba kuuliza CCM unaiamini? Na unatumia vigezo gani kuiamini? Pengine kuna jambo wewe unaliona mimi/sisi wengine hatulioni.Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,

Awamu hii mtahaha sana, hakuna wa kukubali udhalimu ule, na hakuna wa kumsafishia..Masangwenya kama hao nani atababika nao kwa mfano ndugu mdau?
hata maana ya maridhiano tu hawajui
naomba nikuhakikishie tu wewe pamoja na Masangwenya wenzako kwamba,Awamu hii mtahaha sana, hakuna wa kukubali udhalimu ule, na hakuna wa kumsafishia..
Patamu hapo. 🔥🔥
Poleee chawaa.naomba nikuhakikishie tu wewe pamoja na Masangwenya wenzako kwamba,
as a nation we are currently more united, peaceful and more stronger than before, na tupo vizuri na tunaelekea pazuri zaidi.
hakuna visingizio useless vya Sangwenya yeyote yule humu nchini, vinaweza kutatiza safari ya maendeleo ya waTanzania wote, ambao wameamua kusonga mbele pamoja kulijenga taifa letu 🐒
Relax Sangwenya 🐒Poleee chawaa.
Pasco, hebu tueleze unawezaje kuingiza watu wawili kwenye kete ya watu 18 ambao msimamizi amekwisha jitengenezea na wakafaulu kushawishi mawazo yao.Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
Mzee Pasco.
- kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
- Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
- Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
- Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
- Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
P
Leo nimeamini kumbe ukizeeka unakuka nusu chizi kwamba wewe na uzee wako unakishauli CHADEMA kikasimame na CCM huku Kila uchao wana CHADEMA Kila sehemu wanafunguliwa makesi ya ugaidi uhaini na hao hao unaowaita wachawi kwa nini ushauli huu usiupeleke huko huko CCM amebako wewe ni mwanachama mwandamiziMkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
Mzee Pasco.
- kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
- Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
- Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
- Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
- Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
P
Huna akili timamu.Jamani hiki chama ni mpango wa Mungu . Kina viongozi wenye akili wasiojali matumbo yao kwa kuongeka . MUMGU azidi kuwasimamia na kuwalinda katika vita hii ngumu .
Mkata viuno aka songwenyaaaaa la masongwenya hii ni kazi yako ya kwanza mjini dar unaitensea haki sema lumumba buku7 fc wabaya sana kwa ngono washakuambukuza gonjwa baya Sasa unateseka. Nalo poleeeeKweli masangwenya yote ya chadema yana uelewa na ufahamu finyu na mdogo sana kuhusu maana na lengo la maridhiano ya kitaifa yanayoendelea vizuri sana, miongoni mwa waTanzania kupitia vyama vyote vya siasa nchini na yakiongozwa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Ni muhimu waTanzania wote kuwapuuza hawa masangwenya wa chadema ambao ndio walikua chimbuko hata la utapeli na mkwamo wa mchakato wa katiba mpya 2015, ambao ulilisababishia taifa hasara kubwa.
Tuungane sote kama taifa,
katika kuwapuuza masangwenya haya useless yanayotumiwa na kanisa kujaribu kuvuruga nchi, huku kwa umoja na mshikamano wetu, tukiendelea na maridhiano ya kitaifa yenye lengo la kujenga msingi imara zaidi, kuelekea kupata katiba mpya ya waTanzania wote kabla ya 2030.
Matako ya nyani hayaHuna akili timamu.
Ungekuwa na akili timamu ungekudharau sana hichi chama.
Hawa CHADEMA wanaodai katiba mpya ndio waliowaharibia watanzania kupata katiba mpya huku serikali ilishatumia mabilioni ili Watanzania wawe na katiba mpya