PostGE2025 CHADEMA wanakwamisha maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,058
Reaction score
6,886
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
 
We Mzee kijana, Mtoto wa Baba wa Taifa, vipi mbona unajizima data kihivyo? Ni lini na wapi hao Chadema walisema hawataki mazungumzo ya Amani?
Wao wanataka referee neutral wa mazungumzo au maridhiano hayo. Hilo mbona hujaliongea?

Referee neutral- mazungumzo yaanze…

Je ccm wanamtaka au hawamtaki?
 
Ni mtu tu mpumbavu anayeweza kuandika upumbavu kama huu, CHADEMA wameweka conditions zao, very legit, wewe unakuja na utumbo wako hapa, maridhiano mnataka kuridhiana kuhusu nini? si mmeshinda kwa mora than 90%? Watanzania wanawakubali sana, LISSU mmefunga, kila siku mnawakamata wafuasi na wanachama wa CHADEMA na kuwangulia kesi za ugaidi, as we speak now, three days ago, more than 25 CHADEMA members kutoka KISUTU wamepesa kesi ya ugaidi, unalijua hili?? wewe wazazi wako wangetumia tu condom leo hii tusingekua na kichwa kichafu kama chako.

Kama uko serious na Maridhiano
1. Mtoeni Jela Lissu bila conditions zozote
2. Futeni kesi zote za kipumbavu kwa wanachama wa CHADEMA
3. Polisi, TISS na wengine wanaohusika na ukamataji wa hovyo wa wana CHADEMA ukomeshwe
4. Agenda ziwe circulated juu ya nini kinatakiwa kuzungumzwa, na kisiwe SIRI kama wauza bangi
5. kuwe na chombo HURU cha kufanya uchunguzi huru wa October 2026 Massacre

Na mengine mengi, otherwise, endeleeni na akina CHAUMMA na ACT
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Kwani maridhiano ni mpaka Chadema?, mbona walisusia uchaguzi na uchaguzi ukafanyika na CCM ikapata ushindi wa kishindo cha asilimia 98% na vile vyama shikizi vyote vilikubali na kupongeza ushindi huo, sasa maridhiano ya nini. Chadema hawajatoa visingizio, wako very genuine and determined hakuna kuzungumza na yeyote bila Mwenyekiti wao kuwepo!.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Hayo mazungumzo ni ya kupata katiba mpya au kurekebisha hii katiba iliyopo?
Chadema inakwamisha maridhiano.
Inakwamisha kivipi?, kwani mazungumzo hayawezi kuendelea bila Chadema?.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Chadema hawajasema hawataki mazungumzo ya amani, wanataka Mwenyekiti wao awepo ndie aongoze mazungumzo kwa upande wao
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Matokea yake Mandela akawa president.
Wanashindwa nini kwa Lissu?

P
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
Dingi aliyekuambia Chadema hawataki maridhiano amekudanganya.
 
Ni mtu tu mpumbavu anayeweza kuandika upumbavu kama huu, CHADEMA wameweka conditions zao, very legit, wewe unakuja na utumbo wako hapa, maridhiano mnataka kuridhiana kuhusu nini? si mmeshinda kwa mora than 90%? Watanzania wanawakubali sana, LISSU mmefunga, kila siku mnawakamata wafuasi na wanachama wa CHADEMA na kuwangulia kesi za ugaidi, as we speak now, three days ago, more than 25 CHADEMA members kutoka KISUTU wamepesa kesi ya ugaidi, unalijua hili?? wewe wazazi wako wangetumia tu condom leo hii tusingekua na kichwa kichafu kama chako.

Kama uko serious na Maridhiano
1. Mtoeni Jela Lissu bila conditions zozote
2. Futeni kesi zote za kipumbavu kwa wanachama wa CHADEMA
3. Polisi, TISS na wengine wanaohusika na ukamataji wa hovyo wa wana CHADEMA ukomeshwe
4. Agenda ziwe circulated juu ya nini kinatakiwa kuzungumzwa, na kisiwe SIRI kama wauza bangi
5. kuwe na chombo HURU cha kufanya uchunguzi huru wa October 2026 Massacre

Na mengine mengi, otherwise, endeleeni na akina CHAUMMA na ACT
Tumsamehe huyu dingi kuna majira kichwa chake kinapata moto sana.
 
Hivi huyu si ndio mtoto wa Mchonga, mnadhani atakua tofauti na misingi aliyoiacha baba yake?? Lol
Na dingi wake ndiye alituachia huu msala wa Katiba yenye kumpa Rais madaraka ya Umungumtu, kwa maneno yake mwenyewe alisema Katiba yetu ni mbaya kwani inampa Rais madaraka ya Umungumtu, kwa power aliyokuwa nayo kabla ya kung'atuka angeweza kabisa kufanya marekebisho ya ibara zinazomfanya Rais kuwa Mungumtu lakini aliacha hivyo hivyo, hakutenda haki kabisa kwani matatizo mengi yanayolikumba Taifa letu sasa yanatokana na mfumo aliouasisi yeye mchonga.
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
Watafuteni wale 98% waliompigia kura!
Mbona mnajishaua wakati watu mnao?
Mkishindwa kuwapata muulizeni tu Jaji Mwambegele!
 
Wasira kila siku anasema maridhiano sio ya vyama, CCM wao wanaridhiana na WANANCHI
LEO WANAWATAKA CHADEMA WA NINI WA KAZ GANI, si wakaridhiane na wananchi huko.
Upuuzi kwanza maridhiano huwa ni hadaa tu na kiburi cha watawala.
Mwaka juzi CCM walikataa maridhiano leo wanataka maridhiano as if nchi ni mali yao.
 
Na dingi wake ndiye alituachia huu msala wa Katiba yenye kumpa Rais madaraka ya Umungumtu, kwa maneno yake mwenyewe alisema Katiba yetu ni mbaya kwani inampa Rais madaraka ya Umungumtu, kwa power aliyokuwa nayo kabla ya kung'atuka angeweza kabisa kufanya marekebisho ya ibara zinazomfanya Rais kuwa Mungumtu lakini aliacha hivyo hivyo, hakutenda haki kabisa kwani matatizo mengi yanayolikumba Taifa letu sasa yanatokana na mfumo aliouasisi yeye mchonga.
Mchonga, kwenye suala la Muungano, alitukosea sana watanganyika, hili kila raia na mwananchi analalama.

Daaah Ila Mchonga.
 
Back
Top Bottom